Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

Kwanza ujue mwanajeshi si raia ila raia anaweza kuwa mwanajeshi na si kila raia anaweza kufuzu kuwa mwanajeshi. Inachukua mafunzo ya kipekee sana kumbadirisha raia kuwa mwanajeshi. Swali lako umeuliza kiraia ndiomana unashangaa inakuwaje amri inapotoka wanajeshi wanatii bila kupinga.
Just know that It takes special trainings to turn a civilian to be a SOLDIER and once a soldier will always be a soldier.
And so it be forever. Salute officer🙏🙏🙏
 
Kuna kozi ya miezi 6 ya kufutwa Uraia... Hapo ukimaliza kuruta ... Elimu yako inakuchagua kwenda kozi ya Cadet au ubaki Hapo... na mule ndio tunaaamza kutafutwa ... Nilikataaa... Na sitaki... I got plenty of my family lost on this snitching staged espionage ...
Askari akili zao zimefutwa na kupachikwa akili za kijeshi.

Ndio maana wengi hawajali.

Imagine, kuna askari was JW huwa wanaenda kulinda amani Lebanon, Sudan, DRC lakini karibia kila askari huwa anatamani kwenda mpaka nafasi zimekuwa za michongo.
 
Kwa hiyo uko tayari, mtu mwingine apotee, ili wewe uendelee kufurahia maisha?
Kwani aliajiriwa ili afanye nini?
Ashinde kambini tu,na kulewa pamoja na kubeba malaya,matokeo yake afe na UKIMWI?
Fanya kazi uliyoiomba.
 
Utaishi milele kwani?

Ukitolewa uraia hayo mambo utayaona kawaida tu kama madakatari wanavyoona kawaida majeruhi watu kubondekandeka na kushuhudia mtu kukata roho.
Ebu jaribu kuvuta hisia, umepigwa kombora la kichwa
 
Kwani aliajiriwa ili afanye nini?
Ashinde kambini tu,na kulewa pamoja na kubeba malaya,matokeo yake afe na UKIMWI?
Fanya kazi uliyoiomba.
ha ha ha wengine wako kule kutokana na changamoto za ajira
 
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.

Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.

Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.​
Uanajeshi siyo kazi, ni kujitolea kwa ajili ya nchi yako.

Wanajeshi hawaajiriwi kwa ajili ya kuvaa magwanda, wanakuwa wamejiandikisha ili wapiganie maslahi ya watu na Taifa lao, na ikibidi hadi kufia nchi yao.
Marehemu Sokoine aliwahi kusema , wanajeshi wako pale kwa harufu ya damu.
Wito wao si wa mchezo mchezo
 
Askari akili zao zimefutwa na kupachikwa akili za kijeshi.

Ndio maana wengi hawajali.

Imagine, kuna askari was JW huwa wanaenda kulinda amani Lebanon, Sudan, DRC lakini karibia kila askari huwa anatamani kwenda mpaka nafasi zimekuwa za michongo.
Kwa mfano sasa hivi zikitokea nafasi za kwenda Ukraine, wanaweza kuzigombania?
 
Uanajeshi siyo kazi, ni kujitolea kwa ajili ya nchi yako.

Wanajeshi hawaajiriwi kwa ajili ya kuvaa magwanda, wanakuwa wamejiandikisha ili wapiganie maslahi ya watu na Taifa lao, na ikibidi hadi kufia nchi yao.
Marehemu Sokoine aliwahi kusema , wanajeshi wako pale kwa harufu ya damu.
Wito wao si wa mchezo mchezo
Hapo sawa
 
Ndio mana at some point mko well paid, na mna alots of incentives ili muwe motivated sasa mkitaka tena kurudi nyuma kwenye battlefield mnatutisha sisi tunaocheza Vigodoro tukijua walinda mipaka mme devote muda na Nguvu Zenu kutulinda
 
Hili swali kwa kiasi fulani limekaa ki’mbumbumbu, samahi kwa hilo neno nililotumia. Inabidi utambue kila mtu hapa ulimwenguni yupo kwa kusudi flani/maalumu. Na ukijua kusudi lililokuleta hutaogopa hatari yoyote. Kwahiyo unapomuona mwanajeshi wa kweli alieapa kuilinda nchi yake ujue ujeshi wake haukuanzia hapo ulipomuona kuna wengine walionekana tangu wakiwa wadogo kwahiyo si rahisi kuwaza kibinafsi kiasi cha kikimbia vita eti kisa anaogopa kufa na hapa sizungumzii wale wa mchongo.
Labda niende mbele zaidi kwa mawazo hayo ndo maana kuna wanaume wanaukana uanaume wao kisa pesa, hebu tafakari kwenye ishu ya mama kujifungua kuna uwezekano wa mtu kufa lakini kuna mama anatamani kwa hali yoyote abebe ujauzito bila kujali hatari ya kupoteza maisha kwenye kujifungua na sisi akina baba wala hatushiriki kwa lolote pale mama anapojifungua, hiyo tunaita mgawanyo wa majukumu. Ukizaliwa mwanaume pambana kama mwanaume hivyohivyo kwa mwanamke na ukijiona kusudio lililokuleta ni jeshi basi usiogope vita kama ni dereva usiogope ajali na kada nyingine yoyote maana tunajidanganya na kujifariji tu ila ukweli hakuna alie salama hapa duniani. Daaah inatosha nimeandika sana.
umeandika kwa mafilingi snaa mwamba, ila ndo ukweli wenyewe, Mwanaume hatakiwi kuogopa kufa.
 
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.

Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.

Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.​
inawezekana Ila unasindkizwa na Risas ya kichwa wakati unarud nyumban
 
Back
Top Bottom