Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Kuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki
Kusema za ukweli udini umeshamiri sana na inakoelekea huko kutakuwa na hali mbaya sana sijui ninyi wenzangu kwenye majumba yenu ya ibada mnafundishwa dini na haina imani yoyote ile inayofundisha watu wachukiane sasa ninyi hizi chuki zinatoka wapi?
Ndipo tulipofikia hapa ndiyo tokea uhuru hii nchi ilikuwa na udini ila chini chini sana ila sasa unadhihirika kabisa kwa mfano jukwaani ambae ni muislamu akitokea kuisema vizuri dini yake basi atatokea mtu kutoka upande wa pili na kuikashifu dini ya kiislamu pasipo aibu ila vivyo hivyo kwa wakristo tuliofikia tunapaswa kujithamimi kama taifa this is too much.