Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Church hakuna mafunzo ya kuchukia dini nyingine, ila kwenye mihadhara ya kiislamu chuki ndio main agenda.Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa