Hili taifa lina safari ndefu sana. Udini unakuja kwa kasi sana!

Hili taifa lina safari ndefu sana. Udini unakuja kwa kasi sana!

Waislam

Waislam wanachukiwa maeneo mengi sana duniani na maeneo mengine wanapigwa kabisa kwa sababu ya itikadi zao za kutaka kulazimisha watu waishi kama wao ama kuwachukia na kubeza waziwazi itikadi za tofauti
Ila tunaendelea kuwavumilia maana ni special case
Acha uongo, kila siku waislam wanakimbia nchi zao za kiislam na kwenda kuishi nchi ambazo siyo za kiislam.
Umeshawahi kusikia wakati wa vita wakristo kukimbilia nchi za kiislam?
Hapo nani ana chuki na mwenzie? Tuwe wàkweli waislam wana çhuki sana na ukristo.
 
Ac
Acha uongo, mbona mimi nakaa na wakristo hawanichukii? Nami siwachukii?
Utakuwa una matatizo yako binafsi na watu wengine.
Kwani wakisema waafrica masikini, ni wote?🤣
 
Waislam

Waislam wanachukiwa maeneo mengi sana duniani na maeneo mengine wanapigwa kabisa kwa sababu ya itikadi zao za kutaka kulazimisha watu waishi kama wao ama kuwachukia na kubeza waziwazi itikadi za tofauti
Ila tunaendelea kuwavumilia maana ni special case
Duuuh
 
Hebu weka ushahidi wa mtu mmoja aliyefungua uzi wa kuisifia dini yake na akapingwa? Halafu kubishana kuhusu DINI sioni kama ni udini, hizo ndio debate zenyewe, uzi ukiwa wa upande mmoja tu wa kusifia haonogi, raha ya uzi lazima kua na HOJA kinzani. Kina Kiranga wao hawaamini kabisa kama kuna Mungu, ije kua DINI? Wale mimi hata siwachukii na wala sioni shida kwa wao kutokuamini; napendaga kufanya nao majadiriano, yaani mimi nithibitshe uwepo wa Mungu na wao wanambie why hawaamini katika Mungu. Same as mimi Mkristo, naweza nisiamini kama Uislam sio imani kutoka kwa Mungu, kuna ubaya gani tukifanya debate about it? Huo sio udini, mnafanya discussion isio na matusi, unaleta AYA na mimi naleta mistari, shida hapo ni AJE?
Watu wengine hawajui tofauti ya mjadala wa falsafa ya dini na mjadala wa udini.
 
Watu wengine hawajui tofauti ya mjadala wa falsafa ya dini na mjadala wa udini.
Sahihi kabisa bro. Halafu watu pia waelewe hivi, kutofautiana kiimani haiwezi kuleta UADUI kati ya wewe unae amini na usie amini; hayo ni mambo personal
 
Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Kwa asilimia kubwa hii dhana ipo vichwani mwenu, yaani mambo mengi mnaonaga mnaonewa, pia kuna dhana ya kujitengatenga
Kutwa kutuita Makafir wakati sisi neno kama hilo kwenye msamiati wetu mpaka tuangalie kwenye kamusi ndio labda tulipate
 
Mapimbi kama wewe ndio wanaoongelewa na mleta mada,
Huna hoja piga kimya ili usijulikane kuwa huna akili.
Sina hakika, ila inajulikana, muislam halisi kabisa, anauchukia ukristo kwa vitendo. Mfano Zanzibar, japo ni Muungano lakini WAKRISTO kule ni kama wako jela. Hawana uhuru wa ibada, makazi wala sherehe za wazi. Nenda Somalia, Arab countries zote, mkristo anaweza kuuwawa hata njiani kisa amekufuru dini kwa kukutwa tu na Biblia na muuaji asichukuliwe hatua yoyote. Hii haiko hivyo kwenye maeneo ya WAKRISTO wengi wanavyowapenda waislam. Ninakaa mahala na watu mchanganyiko, ila nawatetea waislam na kuwapa nafasi ya ibada hata kama mie sio muislam. Labda kama unataka kutangaza Tanzania nchi ya kiislam.
 
Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Huo ni uongo hakunaga Mkristo anahangaika na Muislam,nasema tena hakuna ni nyie ndio huwa mnaangaika na wakristo na tena waislam karibu 99% mna roho mbaya sana dhidi ya watu wasio waislama.
Tunawaona hata makazini,mnabebana na kuwasengenya wakristo-na huwa mnaanzisha hadi umoja ndani ya sehemu za kazi.
Wakristo wangeikuwa na roho mbaya kama unavyosema waislam wote Tanzania mngeishi kwa shida sana,maana nyie ni wachache katika Jamii zetu.
Wakristo wakiamua kuungana dhidi yenu mtaishi maisha magumu mno,maana karibu kila sehemu hapa Tanzania walio dominate ni wakristo.
 
Njoo ukiwa mwislamu na mkuu wako mkristo ukipewa cheo atoe approve inaweza kukaa miez miwl anazungumka naongea hilo mm ni muhanga wa haya mm ndio mwenye elimu na experience kazn lakn akiondoka anakaimisha certificate kisa tu dini mpk wafanyakaz wengn anawatamkia msifanye kaz kama mpo msikitini so what I can say mbegu inayopandwa makazini kuhusu waislam kuonekana kama hz kaz tumepata kimakosa itakuwa nawiri vzr mbeleni
Huyo ni boss wako tu, mie nimeona waislamu wanafanya kazi makanisani na maisha yanaenda (ila mkristo msikitini sijawahi)
 
Sina hakika, ila inajulikana, muislam halisi kabisa, anauchukia ukristo kwa vitendo. Mfano Zanzibar, japo ni Muungano lakini WAKRISTO kule ni kama wako jela. Hawana uhuru wa ibada, makazi wala sherehe za wazi. Nenda Somalia, Arab countries zote, mkristo anaweza kuuwawa hata njiani kisa amekufuru dini kwa kukutwa tu na Biblia na muuaji asichukuliwe hatua yoyote. Hii haiko hivyo kwenye maeneo ya WAKRISTO wengi wanavyowapenda waislam. Ninakaa mahala na watu mchanganyiko, ila nawatetea waislam na kuwapa nafasi ya ibada hata kama mie sio muislam. Labda kama unataka kutangaza Tanzania nchi ya kiislam.
Hivi upo sawa kweli wewe? niwapi huko wakristo hawaabudu kwa uhuru?

Kuanzia Dubai au UAE kwa ujumla kuna makanisa na tample na watu wanaabudu kwa uhuru kabisa,
Qatar,Bahrain,Oman huko kote kuna Makanisa na wanaabudu,

Hivi hizi habari kua nchi zakiislamu wakristo hawana uhuru wa kuabudu hua mnamezeshwa na nani?

Halafu mwenzo wa comment yako umesema sina hakika ila still ukaandika kama una uhakika vile!!
 
Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Waislamu mnachukiwa au nyie ndio mnachuki na watu wa imani zingine? Nina miaka 50+ sijawahi kusikia Mkristo kachoma msikiti, sijawahi kusikia pia Wakristo wana kataa sehemu fulani msikiti usijengwe? What about Waislamu? Mara ngapi mmechoma makanisa? Tuachane na story za nchi zingine, tuzungumzie hapa hapa nchini? Mmechoma mara ngapi makanjsa? Halafu Wakristo wala hawajawahi kulipiza kisasi, walijenga upya, this includes lile kanisa la Kilokole kule Zanzibar, Dar nk. Haya, twende sasa hatua kwa hatua, ni sehemu gani Waislamu hata mkiwa wenyewe mnaishi kwa amani? Juzi tu hapa Washia na Wasuni Wa Iran na Afghanistan wameuana kwasababu za kidini, uzi upo humu. Nini kinaendelea mashariki ya kati? Achana na story za Wapalestina na Waisrael, twende Syria, Iraq baada ya demokrasia, Shia na Sunni hawa hawaivi, sound like Sadaam Hussein na Gaddaf walikua wanawajua and this why walitawala kwa mkono wa chuma or else mngeuana kama inavyo onekana sasa hivi
 
Kuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki

Kusema za ukweli udini umeshamiri sana na inakoelekea huko kutakuwa na hali mbaya sana sijui ninyi wenzangu kwenye majumba yenu ya ibada mnafundishwa dini na haina imani yoyote ile inayofundisha watu wachukiane sasa ninyi hizi chuki zinatoka wapi?ndipo tulipofikia hapa ndiyo tokea uhuru hii nchi ilikuwa na udini ila chini chini sana ila sasa unadhihirika kabisa kwa mfano jukwaani ambae ni muislamu akitokea kuisema vizuri dini yake basi atatokea mtu kutoka upande wa pili na kuikashifu dini ya kiislamu pasipo aibu ila vivyo hivyo kwa wakristo tuliofikia tunapaswa kujithamimi kama taifa this is too much.
Kuna kitu umechanganya Yani udini na discussion za masuala ya dini hivi ni vitu viwili tofauti

UDINI ni kuminya haki ya mwenzako Kwa sababu sio mtu wa dini yako
Udini mara nyingi athali zake zinaonekana katika mambo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii

Mimi nimezaliwa na kukulia Dar es salaam ndio sehemu ambayo katika miaka ya 80 kurudi nyuma asilimia 90 ya wakazo wake walikuwa waislam sidhani kama Babu zenu walipokuwa wanatoka huko mikoani na kuja Dar walikutana na hayo manyanyaso ya udini mimi nakataa waliishi Kwa amani mno
Walikuwa wanapanga katika majumba ya waislam bila ya bughuza yoyote
Tulikuwa na nyumba ya viumba sita wapangaji wote walikuwa wakristo sikuwahi ona wakibaguliwa Kwa sababu ya dini yao
Dar ndio Kila kitu kwahiyo kama Kwa Sasa Kuna udini basi wakristo ndio walio uleta maana viwanja vyote vilivyojengwa makanisa Dar vilikuwa vya waislam

DISCUSSION KATIKA DINI
Discussion katika masuala ya dini hili haliwezi kuepukika maana hata hao manabii walieneza dini Kwa njia ya discussion
Ila kama mtu akiingiza chuki. Ugomvi , na matusi katika hizo discussion za masuala ya dini hapo ndipo kutakuwa na shida lakini kama discussion tu Ili kujua ni nani kati yenu yupo katika njia sahihi pia hilo halina shida
 
Kwa hii nchi ilipofika acha vitu vi flow naturally nimenyosha mikono 🙌🙌🙌 ipo siku tutapopoa tu kwasababu ya dini
 
Akuna udini mkuu ni uchaguzi wa serikali za mitaa umewavuruga.Sasa mnatafuta pakuwagawa watanzania kwa kuvumisha uongo kupitia dini.
 
Hawa wakristo wali
Kuna kitu umechanganya Yani udini na discussion za masuala ya dini hivi ni vitu viwili tofauti

UDINI ni kuminya haki ya mwenzako Kwa sababu sio mtu wa dini yako
Udini mara nyingi athali zake zinaonekana katika mambo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii

Mimi nimezaliwa na kukulia Dar es salaam ndio sehemu ambayo katika miaka ya 80 kurudi nyuma asilimia 90 ya wakazo wake walikuwa waislam sidhani kama Babu zenu walipokuwa wanatoka huko mikoani na kuja Dar walikutana na hayo manyanyaso ya udini mimi nakataa waliishi Kwa amani mno
Walikuwa wanapanga katika majumba ya waislam bila ya bughuza yoyote
Tulikuwa na nyumba ya viumba sita wapangaji wote walikuwa wakristo sikuwahi ona wakibaguliwa Kwa sababu ya dini yao
Dar ndio Kila kitu kwahiyo kama Kwa Sasa Kuna udini basi wakristo ndio walio uleta maana viwanja vyote vilivyojengwa makanisa Dar vilikuwa vya waislam

DISCUSSION KATIKA DINI
Discussion katika masuala ya dini hili haliwezi kuepukika maana hata hao manabii walieneza dini Kwa njia ya discussion
Ila kama mtu akiingiza chuki. Ugomvi , na matusi katika hizo discussion za masuala ya dini hapo ndipo kutakuwa na shida lakini kama discussion tu Ili kujua ni nani kati yenu yupo katika njia sahihi pia hilo halina shida
Okuja dar es alaaam miaka ya 2000 ndiyo wanaleta choko choko za udini
 
Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Mbona christian / wakristo hawanaga shobo kabisa itakua umechanganyikiwa na maisha Yako magumu unasingizia wakristo wanakufuatilia
 
Back
Top Bottom