Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Hatuwachukii lakini mna vibe la uvivu, kuridhika na umasikini. Na cha kuongezea juu ni shiriki. Kule pemba wanaita uchawi wa kitabu .Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa