Church hakuna mafunzo ya kuchukia dini nyingine, ila kwenye mihadhara ya kiislamu chuki ndio main agenda.Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Huu ni uwongo wa wazi , mfano rahisi subiri Ramadhani ifike utakuta kwa siku mada zaidi ya kumi nyingine zinajirudia kufuatilia na kusema hivyo mambo ya Waislamu wengine wanavamia hata Uzi wetu wa "Ramadhani Special thread" ambao mahususi kwa sisis Waislamu kuelimishana mambo yanayofungamana na mwezi wa Ramadhani wanazama humohumo kuharibu Uzi.Umejichangaja tu
Christian/wakristo hawanaga time na mtu
unakurupuka tu, unavurumisha mawe hata hujui unayemlenga, eti naongoza kwa chuki kwa nyie kobaz. Tuliza kichwa acha kupayukapayuka uelimishweWewe punguani hua una chuki sana na Uislamu,
Bila shaka wewe ndio unaongoza humu JF
Kama ulipigwa talaka na Muislamu,basi usihamishe chuki zako kwenye uislamu,
Pambana na X wako huko.
Unaelewa ulichokiandika hapa lakini? Kwanini usimquote huyo Pimbi alieanza kuleta kashfa hapa?
Punguza ushauri mkuu.
KabisaKuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki
Kusema za ukweli udini umeshamiri sana na inakoelekea huko kutakuwa na hali mbaya sana sijui ninyi wenzangu kwenye majumba yenu ya ibada mnafundishwa dini na haina imani yoyote ile inayofundisha watu wachukiane sasa ninyi hizi chuki zinatoka wapi?ndipo tulipofikia hapa ndiyo tokea uhuru hii nchi ilikuwa na udini ila chini chini sana ila sasa unadhihirika kabisa kwa mfano jukwaani ambae ni muislamu akitokea kuisema vizuri dini yake basi atatokea mtu kutoka upande wa pili na kuikashifu dini ya kiislamu pasipo aibu ila vivyo hivyo kwa wakristo tuliofikia tunapaswa kujithamimi kama taifa this is too much.
tulia we kobaz mpevuWewe Depe tupu umuelimishe nani? labda usambaze ujinga tu humu.
Wewe ndio unayaona vipi uhayawani mwingine unaoendelea je pia umeuona na kuubaini au unatetea imani tu?Kuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki
Kusema za ukweli udini umeshamiri sana na inakoelekea huko kutakuwa na hali mbaya sana sijui ninyi wenzangu kwenye majumba yenu ya ibada mnafundishwa dini na haina imani yoyote ile inayofundisha watu wachukiane sasa ninyi hizi chuki zinatoka wapi?ndipo tulipofikia hapa ndiyo tokea uhuru hii nchi ilikuwa na udini ila chini chini sana ila sasa unadhihirika kabisa kwa mfano jukwaani ambae ni muislamu akitokea kuisema vizuri dini yake basi atatokea mtu kutoka upande wa pili na kuikashifu dini ya kiislamu pasipo aibu ila vivyo hivyo kwa wakristo tuliofikia tunapaswa kujithamimi kama taifa this is too much.
Watu kushambuliana dini zao haijaanza leo,kuponsiku nyingi tu na hio haimaanishi nchi ina udini,wanadamu ndugu yangu ni viumbe vya ajabu mno,muhimu ni kuyakemea mambo ya kutukana dini za watu,tuache kila mtu aamini dini atakayoKuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki
Kusema za ukweli udini umeshamiri sana na inakoelekea huko kutakuwa na hali mbaya sana sijui ninyi wenzangu kwenye majumba yenu ya ibada mnafundishwa dini na haina imani yoyote ile inayofundisha watu wachukiane sasa ninyi hizi chuki zinatoka wapi?ndipo tulipofikia hapa ndiyo tokea uhuru hii nchi ilikuwa na udini ila chini chini sana ila sasa unadhihirika kabisa kwa mfano jukwaani ambae ni muislamu akitokea kuisema vizuri dini yake basi atatokea mtu kutoka upande wa pili na kuikashifu dini ya kiislamu pasipo aibu ila vivyo hivyo kwa wakristo tuliofikia tunapaswa kujithamimi kama taifa this is too much.
Tatizo ni hawa ndugu zetu waarabu wa kwa mtogole... Wenyewe kila mahali wanahisi wanaonewa na kubaguliwa kwa misingi ya dini!Watu wa dini humu jukwaani siku haiwezi kupita bila kupopoana .
Unavaa kobazi size gani ? Ili Uache kutia huruma hapa kijana wa mudiUkweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Dini ya uislamu inachukiwa kwasabu ya misimamo yake, ndo maana walio wengi wanaipiga sana vita
ExactlyAnza na Moderator wa JF
Muislamu akiusema ukristo anapigwa ban ila Mkristo akuisema uislamu hapigwi ban! hili lipo wazi kabisa,
Hata nyuzi za Uislamu ndio zinazoongozwa kufutwa hapa JF
Kila mtu aamini Dini yake na afanye mambo yake,
Imani hailazimishwi.
Na wakristo mnavurugu kila siku ndo mnaoanzisha nyuzi za kutukana wazee wa bikra 72Tatizo ni hawa ndugu zetu waarabu wa kwa mtogole... Wenyewe kila mahali wanahisi wanaonewa na kubaguliwa kwa misingi ya dini!
AiseeWe mshamba wa kisukuma aliyetaka kuleta ukabila ni yule shetani wenu ambaye kwa bahati nzuri Mungu aliingilia kati. Halafu we unaonekana ni wale waliosoma shule za kata, shule za kata ni janga la kitaifa. Ukabila nchi hii haupo ingawa kuna vikabila vichache vinajaribu kufurukuta ila wameshindwa kwasababu wengi hawana ukabila. Ukabila wanao makabila km wachaga na wahaya hasa, wasukuma wameanza kionesha hisia za kikabila baada ya Magu kuwa Rais. Udini haupo labda km huelewi maana ya hizo dhana.
Acha uongo, mbona mimi nakaa na wakristo hawanichukii? Nami siwachukii?Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa