Hili taifa lina safari ndefu sana. Udini unakuja kwa kasi sana!

Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Hatuwachukii lakini mna vibe la uvivu, kuridhika na umasikini. Na cha kuongezea juu ni shiriki. Kule pemba wanaita uchawi wa kitabu .
 
Halafu unakuta Sheikh anaenda kusoma kisomo kwa boda boda. Ukienda kwenye mikutano ya dini masheikh wanaondoka kwenda kusubiri dala dala.
 
Mchukiwe mna nini ? Dini imeshindwa kuanzisha hata chuo, hospitali , zahanati au shule ya maana. Masheikh wenu wanaishi kwa tabu.
 
udini tanzania hauna impact ni hisia tu
 
Njoo ufunge solar Umeme wa Songas umekata kichwani humo.😂
tumia hata betery za supersonic au gas kurecharge hiyo empty head yako, vinginevyo utakosa mengi sana na tutakuacha mbali sana humu jukwaani..

kumbuka,
epuka kutumia visungura wakati unafanya hayo 🐒
 
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, muislam na misingi yake madhubuti isiyoyumbishwa na binaadam, umekuwa ni mwiba mkali sana kwa kondoo wa bwana... Hebu chunguza humu humu jf ni nyakati gani za kiutawala Kati ya waislam na wakristo huwa threads za udini hushamiri? Jibu utapata kuwa pindi raisi akiwa muislam ndio Mada za udini hushamiri!!
 
tumia hata betery za supersonic au gas kurecharge hiyo empty head yako, vinginevyo utakosa mengi sana na tutakuacha mbali sana humu jukwaani..

kumbuka,
epuka kutumia visungura wakati unafanya hayo 🐒
Unaumwa Umbwa wewe.
Mtaniacha kwenye mauchawi na utekaji wenu Bw. Mafwele.

Visungura anakula Murilo, Meja Sumuni itakuwa Mimi.
 
HIJABU ZIPIGWE MARUFUKU HARAKA SANA ..PIA ITUNGWE SHERIA KUWA MAKANISANI NA MISIKITINI NI MARA MOJA TU KWA WEEK SIKU NYINGINE ZILIZO BAKI NI KUFANYA KAZI NA KUABUDU NYUMBANI KWAKO ...SHULE ZA ELIMU DUNIA ZISIWE NA MAMBO YA DINI HATA KAMA ZINAENDESHWA NA TAASISI YA DINI NK
 
Unaumwa Umbwa wewe.
Mtaniacha kwenye mauchawi na utekaji wenu Bw. Mafwele.

Visungura anakula Murilo, Meja Sumuni itakuwa Mimi.
halafu hizo shisha zinakutia mawenge sana gentleman hasa ukichanganyaga na bangi..

si ujaribu kumix na ugoro huenda itakusaiadia utulivu na umakini kidogo, vinginevyo unapotea kwa kasi ya ajabu kwenye ramani humu jukwaani hadi huruma 🐒
 
Wenge litoke wapi Mafwele ?
 
Wenye dunia walifahamu siku nyingi kuwa kitakachoigawa Kenya ni ukabila na Tz ni udini. Kwa sehemu kubwa CCM pamoja na mapungufu yake lakini imefanikiwa sana kulidhibiti jini la udini ndani ya chupa, pengine ndiyo karata pekee inayofanya iendelee kuaminika.
 
Waislamu wao kwa wao hawaelewani muda wote ni kupigana tu ondoeni kwanza chuki za Ushia na Usunni ndani ya Uislamu ndio muanze kulaumu itikadi zingine..
 
Kweli km wakristo wana chuki mbona waislamu ndio wanaongoza kwenda Western kutafuta hifadhi huwezi kumkuta mwislamu kakosana na wanzake akakimbilia Afghanstan ama Kazha kistan..
 
Waislamu wana "Religion War Derby" kati ya Wasunni na Washia.. kitu ambacho huwezi kukiona katika imani zingine..
 
Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
...niwapi huko wakristo hawaabudu kwa uhuru?
Mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe?
Mbona wenye chuki wanajulikana wazi tu?

View: https://youtube.com/shorts/Gh34U30vi5Q?si=r7eHjlakdIfaKH9G
 
Zanzibar tuu hapa mwezi wa Ramadan wakristo walikuwa hawaruhusiwi kula hadharani.hulijui hili mkuu?
 
Wakristo ndio wanaongoza kuwachukia ndugu zao waislam
 
Wewe ni kobazi tushakugundua.
Kwanza mnaposema "kafiri" tayari nikuonesha chuki na ubaguzi dhidi ya watu ambao sio wa dini yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…