Yaani unaacha shule kisa mbususu? 🤣Mkuu aliyekwambia shule ni chanzo cha kuondoa upumbavu kama ulionao ni nani?🤣
Mkoa ambao hawalimi kahawa Wala hawalimi zao la ndizi yaani migomba mkoa wenye shida sna Mara nyingiMkuu achana na story za kisiasa hizo
Karibu Tarime mkuu Wilaya iliyobarikiwa, Maziwa na Asali utavishuhudia vikitiririka na utakinga kwenye jagi na utakunywa na kulamba[emoji14]
Wazee wa hii nch mnajifanya mnapenda kazi. 😂😂😂 Kama hatuwajui vile 😂😂Google "Parade ya Yanga" ndipo utasema kuwa kuna milofa katika nchi hii haijawahi kutokea nchi yoyote duniani.
Yaani nchi yenye watu Mil 63 size ya kajimbo kamoja ka Marekani iwazidi Nchi ya watu mil 300+ na yenye majimbo karibu 50+....???? AiseeNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.
Hili Taifa la Tanzania ndilo Taifa linaloongoza duniani kwakuwa na Vijana wapumbavu kuliko Mataifa yote yanayotambulika na Umoja wa Mataifa (UN).
Hebu fikiria kijana anatoka nyumbani au kibaruani kwake kuelekea Airport (JKNIA) kumpokea msanii wa muziki wa kizazi kipya kisa kachukua tuzo huko Marekani,na kibaya zaidi huyo kijana anakimbiza gari lililombeba huyo msanii kitokea Airport hadi Kawe!.
Zaidi ya Km 22 huyu kijana anakimbiza gari kutoka JULIUS KAMBARAGE NYERERE INTERNATIONAL AIRPOT (JKNIA) hadi Kawe huku akitokwa jasho na kunuka kama mbuzi wakati huo huo huyo msanii akiwa anapigwa na AC (Air Condition)!.
Nimetafakari sana namna vijana wa nchi hii (Wengi) walivyo wapumbavu hadi nimekosa majibu!.
Hebu fikiria muda ambao huyo kijana kapoteza katika shughuli za uzalishaji mali!.
Kwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji.
Kuna kijana mmoja, afisa usafirishaji, nilimwita nyumbani aje kuchukua mteja akaniambia kuwa siku hiyo alikua hafanyi kazi, nikamuuliza kwanini, akasema yuko bize anaangalia mechi ya simba na yanga. Nikajua tayari, akili imeshachezewa.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.
Hili Taifa la Tanzania ndilo Taifa linaloongoza duniani kwakuwa na Vijana wapumbavu kuliko Mataifa yote yanayotambulika na Umoja wa Mataifa (UN).
Hebu fikiria kijana anatoka nyumbani au kibaruani kwake kuelekea Airport (JKNIA) kumpokea msanii wa muziki wa kizazi kipya kisa kachukua tuzo huko Marekani,na kibaya zaidi huyo kijana anakimbiza gari lililombeba huyo msanii kitokea Airport hadi Kawe!.
Zaidi ya Km 22 huyu kijana anakimbiza gari kutoka JULIUS KAMBARAGE NYERERE INTERNATIONAL AIRPOT (JKNIA) hadi Kawe huku akitokwa jasho na kunuka kama mbuzi wakati huo huo huyo msanii akiwa anapigwa na AC (Air Condition)!.
Nimetafakari sana namna vijana wa nchi hii (Wengi) walivyo wapumbavu hadi nimekosa majibu!.
Hebu fikiria muda ambao huyo kijana kapoteza katika shughuli za uzalishaji mali!.
Kwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji.
Perhaps you're the reason the middle finger[emoji867] was invented.Motherfucker!
Kila mtu ana ratiba zake mkuu. Huwezi kufanya kazi masaa 24 kuna muda wa kazi, muda wa kupumzika/kulala, muda wa kurefresh akili kwa kufanya unachokipenda mfano uyo kijana unaemuongeleaKuna kijana mmoja, afisa usafirishaji, nilimwita nyumbani aje kuchukua mteja akaniambia kuwa siku hiyo alikua hafanyi kazi, nikamuuliza kwanini, akasema yuko bize anaangalia mechi ya simba na yanga. Nikajua tayari, akili imeshachezewa.
Tambo na majigambo za nini Mzee? Nenda pale JKNIA anzia pale beba Bango linalomponda rais hawashughulikii watu waliotajwa kwenye report ya CAG uelekeo wako uwe kwenda Kawe, usijipambe sana Mimi simulizi sijui vituo vya polisi wananijua unatuletea umaarufu kunuka hapa nenda kaandamane na mabango km unafikiri ni rahisiOk,tunaweza kuwa sawa kama wanadamu lakini Uthubutu na roho ya Ujasiri nimekuacha zaidi ya Km 100,000
Ulivyoboya maandazi hadi unashindwa kujizuia hisia zako na kutema mitusi ya nguoni we kweli kiaziMotherfucker!
Utamlaumu vipi kijana wakati kijana ni matokeo ya jamii iliyomlea na mifumo ya serikali iliyopo..Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.
Hili Taifa la Tanzania ndilo Taifa linaloongoza duniani kwakuwa na Vijana wapumbavu kuliko Mataifa yote yanayotambulika na Umoja wa Mataifa (UN).
Hebu fikiria kijana anatoka nyumbani au kibaruani kwake kuelekea Airport (JKNIA) kumpokea msanii wa muziki wa kizazi kipya kisa kachukua tuzo huko Marekani,na kibaya zaidi huyo kijana anakimbiza gari lililombeba huyo msanii kitokea Airport hadi Kawe!.
Zaidi ya Km 22 huyu kijana anakimbiza gari kutoka JULIUS KAMBARAGE NYERERE INTERNATIONAL AIRPOT (JKNIA) hadi Kawe huku akitokwa jasho na kunuka kama mbuzi wakati huo huo huyo msanii akiwa anapigwa na AC (Air Condition)!.
Nimetafakari sana namna vijana wa nchi hii (Wengi) walivyo wapumbavu hadi nimekosa majibu!.
Hebu fikiria muda ambao huyo kijana kapoteza katika shughuli za uzalishaji mali!.
Kwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji.
Tambo na majigambo za nini Mzee? Nenda pale JKNIA anzia pale beba Bango linalomponda rais hawashughulikii watu waliotajwa kwenye report ya CAG uelekeo wako uwe kwenda Kawe, usijipambe sana Mimi simulizi sijui vituo vya polisi wananijua unatuletea umaarufu kunuka hapa nenda kaandamane na mabango km unafikiri ni rahisi
Huna akili unapenda cheap popularityAliyekwambia ukaandamane nani?
Bogus wewe!
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.
Hili Taifa la Tanzania ndilo Taifa linaloongoza duniani kwakuwa na Vijana wapumbavu kuliko Mataifa yote yanayotambulika na Umoja wa Mataifa (UN).
Hebu fikiria kijana anatoka nyumbani au kibaruani kwake kuelekea Airport (JKNIA) kumpokea msanii wa muziki wa kizazi kipya kisa kachukua tuzo huko Marekani,na kibaya zaidi huyo kijana anakimbiza gari lililombeba huyo msanii kitokea Airport hadi Kawe!.
Zaidi ya Km 22 huyu kijana anakimbiza gari kutoka JULIUS KAMBARAGE NYERERE INTERNATIONAL AIRPOT (JKNIA) hadi Kawe huku akitokwa jasho na kunuka kama mbuzi wakati huo huo huyo msanii akiwa anapigwa na AC (Air Condition)!.
Nimetafakari sana namna vijana wa nchi hii (Wengi) walivyo wapumbavu hadi nimekosa majibu!.
Hebu fikiria muda ambao huyo kijana kapoteza katika shughuli za uzalishaji mali!.
Kwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji.
Yule mwanamke wa Buguruni alikufanya nini?Nadhani hapa Lucas mwashambwa na Ndugu yake MamaSamia2025 wanahusika!
Hivi umeelewa ulichokiandika?China ina watu wengi duniani,Je kiuchumi iko sawa na Marekani yenye watu wachache?
Bogus