Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Huna popularity yoyote jinga umaarufu wa Jf kwa visimulizi vyako uchwara eti na wewe unajiona popular?Akili akiwa nazo mama yako inatosha!
IAM THE POPULARITY!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna popularity yoyote jinga umaarufu wa Jf kwa visimulizi vyako uchwara eti na wewe unajiona popular?Akili akiwa nazo mama yako inatosha!
IAM THE POPULARITY!
Jamaa kichwani kajaza funza akili hanaHivi umeelewa ulichokiandika?
Kichwani huna akiliLike U'R mum!
Shtuka, misaada unaijua wewe wakati wananchi wao wenyewe wapo hoi taabani. Sasa wewe soma udaku badala ya kusoma local news. England nusu tu idondokee uko. Times have changed, soma na kufuatilia local news sio udaku.Ni nchi gani duniani unayoijua wewe ambayo ina uwezo wa kumuwekea vikwazo Marekani?
- Urusi ameshawekewa vikwazo
Iran ameshawekewa vikwazo
*Urusi alipovamia Ukraine Marekani alienda Ukraine, Vita ilithitishwa. Akatoa msaada wa silaha
- China ameshawekewa vikwazo, tena aliambiwa usithubutu kuigusa Taiwan. Akatulia
- North Korea ameshawekea vikwazo
*Israel anaichapa Gaza, Marekani kapeleka meli, wanajeshi na ndege. Hakuna nchi yoyote iliyotia pua Gaza au Israel. Iran, Uturuki, Misri, Saudia Arabia na wengine wanaongelea chini ya kitanda
Nchi inayotoa misaada kuliko nchi yoyote duniani ni Marekani. Urusi, Iran, Uturuki, Saudia Arabia na China hawatoi misaada
Una matatizo makubwa sana ya kisaikolojiaWanawake wote ukiwemo wewe nawakaribisheni kwangu mje muenjoy!