Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Ni nchi gani duniani unayoijua wewe ambayo ina uwezo wa kumuwekea vikwazo Marekani?
- Urusi ameshawekewa vikwazo
Iran ameshawekewa vikwazo
  • China ameshawekewa vikwazo, tena aliambiwa usithubutu kuigusa Taiwan. Akatulia
  • North Korea ameshawekea vikwazo
*Urusi alipovamia Ukraine Marekani alienda Ukraine, Vita ilithitishwa. Akatoa msaada wa silaha
*Israel anaichapa Gaza, Marekani kapeleka meli, wanajeshi na ndege. Hakuna nchi yoyote iliyotia pua Gaza au Israel. Iran, Uturuki, Misri, Saudia Arabia na wengine wanaongelea chini ya kitanda
Nchi inayotoa misaada kuliko nchi yoyote duniani ni Marekani. Urusi, Iran, Uturuki, Saudia Arabia na China hawatoi misaada
Shtuka, misaada unaijua wewe wakati wananchi wao wenyewe wapo hoi taabani. Sasa wewe soma udaku badala ya kusoma local news. England nusu tu idondokee uko. Times have changed, soma na kufuatilia local news sio udaku.
 
Nilitaka kukupinga kwamba wapo vijana wengi hawajapata nafsi na wengu hawaamin kwenye hiyo mifumo wa uongoz hivyo wakaamua kujitafuta pengine, lkn swala la kijana kwenja JNIA alf anakimbiza gari nimecheka basi tuh 😂 lbda wanalipwa lkn kama hapat chchote n kwel weng hawana akili
 
Back
Top Bottom