Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Umempa za uso labda atakuelewa!
 
Nimesema huko juu mtoa mada anajiona smart but the reality is, he is idiot
 
Amen 🙏
Mimi wangu mdomo tu🤣
Najitoaga muhanga kwenye ofisi uchwara
Unakuta mnakandamizwa..
Hapo nipo radhi kuwa mbuzi wa kafara kwa ajili ya wengine.. heri nipoteze kibarua ili wengine waboreshewe mazingira.

Huko kwenye magari ya mwendokasi hakuna mhudumu mzembe asiyenijua maana kukinukisha ni dakika chache tu.

Ila nguvu za kupigana hizo Kwa kweli sina.
Serikali iweke kwanza silaha pembeni.

Mkifikia mahali pa kutafuta msemaji nitafuteni😂
 
Kijana fanya kazi...sawa leo atapata,vipi kuhusu kesho?,vipi akiugua?,na vipi akipata tatizo lolote litakalomfanya asiendelee na huo ujinga?
 

Mkuu hiki ndicho nilichomaanisha,sema vijana wengi ni wajinga!
 

Safi sana Malikia wa Nguvu 🙌
 
Bora hao vijana walio toka wazi wazi kumshabikia msanii wao, naamini asilimia kubwa la lile kundi walikuwa standard 7.

.Vijana wa humu JF ambao asilimia kubwa ni wasomi, wao kazi yao ni kusifia sifia sifia hata penye uozo! lengo kuu ni mkono uende kinywani.

BINAFSI NAONA VIJANA WA HUMU JF NI TATIZO KWA MAENDELEO YA NCHI YETU.
 
Jibu limefunga uzi yaaan kuna watu wanajitoa kama wao sio sababu ya huu upuuzi kuwepo kama milichemka nyie sisi tuacheni tutabadilisha tutakapo
 
Niliacha shule mkuu sababu ya Mbususu za Kitanga 🤣
Hee🤣🤣
Hii stori sikusoma.
Kwahiyo advance hukumaliza Mkuu?

Nilisoma tu ile ya Ally Mpemba.

Vipi jamaa hajakirudia tena?
 

Nadhani hapa Lucas mwashambwa na Ndugu yake MamaSamia2025 wanahusika!
 
Mmmh mkuu uwe serious kidg tarime hi hi ya kuuwana kwa mapnga Koo kwa Koo au Ni ipi

Kule Kanda maalumu ya kijeshi

Mkuu achana na story za kisiasa hizo

Karibu Tarime mkuu Wilaya iliyobarikiwa, Maziwa na Asali utavishuhudia vikitiririka na utakinga kwenye jagi na utakunywa na kulamba😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…