Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Sawa domo umesikika
 
Wasanii wote walioimba ni hovyo, kidogo chid benz kajitahidi, sitaki kuamini kama kuna wanaume waliokamilika wametoa pesa zao kwenda kuangalia huu upuuzi.

Uzo tayari.
Jiandae na fiesta kijana , hili ni balaaaaa zitooooooooo
 
Namkubali mondi

Sababu ametoa ajira nyingi kwa vijana... Ila sio sababu ya nyimbo zake

The guy is really hustler... I love his moves

That is how all youths needs to fight !
 
Najarbu kuftalia show ya ya wasafi festival grand final..wat i see jamaa bado wana longway to go kuna matchup na fiesta mana hata arrangment yao ni ovyo plus wasanii wao wengi ni wale oldscul tuu sasa sijui wameshindwa kulipa hawa curently artsist
Currently artists ndo kina nani kwa mfano ...
 
umenena majamaa hawategemei viingilio vya watu tu mapato ni mengi ndio maana mondi anajiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…