Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Ungejadiliana na mumeo huko ghetto kwenu ulilileta hapa kufanyaje ngoja waje kukupa dawa
 
 
Kushambuliwa ni lazima...
Unatakiwa kusifia au kukaa kimya..!
😂 😂😂
 
Baadhi ya wasanii hawajafanya mazoezi na wengi wao wametumia playback nimeona prof Jay anakoroma sijui pumzi ilimuishia otherwise wamejaza nilichoona
 
Amani iwe nanyi wakuu wa jukwaa

Hakika macho yangu bado haya aminini kile nilichokiona pale viwanja vya posta

Hakika watu walijaa ile mbaya

Dunia nzima imeona umati ule

Nimeshangaa sana kwakweli

Kumbe watu pesa bado wanazo!

Kama una roho mbaya utateseka sana dunia hii ya leo ni bora tu uwe na moyo safi kama dada yangu Numbisa


LONDON BOY
 
Lengo la Diamond NI kujaribu pia kurudisha hadhi ya mziki wa zamani na pia kuwashika mkono wasanii ambao walikwisha sahaulika
 

Wewe ndugu acha kulopoka unaonekana huna hata hicho kisimbuzi cha dstv eti hakuna tv ya tanzania inaooneshwa dstv???! Ipo clouds plus,tbc,tv e, halafu azam haipo hiyo wasafi tv acha ushabiki maandazi halafu hizo tv sio za diamond ni za joe mwenye clouds,diamond ni kipele tu mpiga debe nenda zako na ushabiki wako maandazi
 
Bila Wizkid kuja ingekuwa ndoto, mshukuruni Starboy.
Sio ndoto bali ni mipango mizuri chini ya Wasafi na hata mikoani wamejaza viwanja kwa sh elfu 10 na hakukuwa msanii wa nje.

Najua unaumia ila hao jamaa zako wamepoteza nguvu ya ushawishi kutoka elfu 10 mpaka elfu 5 ,kutoka mikoa zaidi ya 15 mpaka 7.

Zamani walikuwa mabingwa wakupiga picha ktk 90 angle wenyewe Wanziita za utosi,ila siku hizi wanapiga picha ktk matamasha yao ktk angle less than 90 kuficha aibu yao ,wanazani hatufahamu.
 
Na wew nenda kapige debe
 
Kwahyo akiwa n.a. viewers wengi ndo nin watu wengi wamenunua ticket kwasab ya BRAND lakini kiukwel kilicho fanyika sijaona yan bado wanahitaj experience zaid yan bado sijaona balaa zito jana halikuepo
 
Azam Wasafi,ila mpaka ulipie elfu 1 independent ili uweze kuiona.
 
Lakini wamejaza kwa wasanii wale wale wazamani, hilo ndio muhimu tena kwa shiling 10 elfu kingilio.We wasubirie wazee wa buku 5 na wasanii wao wapya.

Najua huamini unachokiona,Wasafi kujaza kwa kutumia wasanii wa zamani tena kwa shilingi 10.
Wasafi wamejaza uwanjan kwasabu tu ya ule ukubwa wa BRAND ila tukiweka ushabiki pemben tusimame kweny ukwel kabisaa wasafi bado sana kweny matamasha
 
Wasafi wameanza uwanjan kwasabu tu ya ule ukubwa wa BRAND ila tukiweka ushabiki pemben tusimame kweny ukwel kabisaa wasafi bado sana kweny matamasha
Hata mbuyu ulianza kama mchicha ,ndio kwanza wameeanza na impact imekuwa kubwa kupita kawaida wamejifunza watarekebisha,hamna mtu aliyeanza kitu na kufanya vizuri siku hiyo hiyo HAMNA na ndio maana kuna shule na Training.
 
Kwahyo akiwa n.a. viewers wengi ndo nin watu wengi wamenunua ticket kwasab ya BRAND lakini kiukwel kilicho fanyika sijaona yan bado wanahitaj experience zaid yan bado sijaona balaa zito jana halikuepo
Sasa mtu ana views wengi unashangaa kuuza ticket nyingi?
Unasema wameuza ticket sababu ya brand,sasa una kataa nini na una kubali nini kwani ili brand iwe kubwa lazima iwe na mashabiki wengi ambao wanao sababisha views kuwa nyingi,unarudi pale pale Man Utd timu ambayo ina brand kubwa na thamani yake kubwa sababu ina mashabiki wengi SIMPLE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…