Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Hata mbuyu ulianza kama mchicha ,ndio kwanza wameeanza na impact imekuwa kubwa kupita kawaida wamejifunza watarekebisha,hamna mtu aliyeanza kitu na kufanya vizuri siku hiyo hiyo HAMNA na ndio maana kuna shule na Training.
Impact kubwa ila watashindwa kuimantain mwishowa siku hao walioenda jana watakua ambassadors wa mwakan ss hao ambassadors wamewaachia nn kichwan mwishowe unakuta miaka inavozidi kwenda impact inapungua nawashauri washughurikie madhaifu waloona this time wasije wakabuma mbeleen huko
 
Nakubali kuwa ticket zimeuzika ila kilicho fanyika mle ndan hamna kitu...yaan wamefanya vitu ambavyo kwa jinsi BRAND yao ilivyo n.a. zile advertisement haviendan kabisaa
 
Wewe sio Mungu mpaka utabiri kesho ya mtu,najua unaumua Wasafi kujaza mpaka unajitia unabii.
Ili hao ndio wameeanza na kama wakijutuma na kufanya kazi kwa bidii,mwendo utakuwa ni ule ule.
 
Nakubali kuwa ticket zimeuzika ila kilicho fanyika mle ndan hamna kitu...yaan wamefanya vitu ambavyo kwa jinsi BRAND yao ilivyo n.a. zile advertisement haviendan kabisaa
Sikatai kila mtu ana uhuru wa kujieleza,hayo ni maoni yako binafsi,usiwasemee wenzio,lkn kwangu nawapa 8/10 .Husicho kipenda ww usizani kila mtu hakipendi.
 
Tusio na Penseli tunacomment wapi?
 
Kwa kweli jana ndo nimeamini Daslama ina watu wengi,can u imagine ile umati haifiki hata robo ha wakazi hili jiji,yani kwamba kuna watu wengi zaidi walibaki nyumbani wakifatilia live lile show la kiume tangu kuumbwa kwa Tanzania.
 
Acha umama wewe unaongea pumba gani slogan ya wasafi HII NI YETU SOTE haibagui wala kuchangua msanii au wasaniii na nimependa kilichofanywa na kuwapa heshma ma legendary walio fanya vizuri kipindi hicho nao wasisahaulike hiyo ni heshma kubwa kwao huenda ikawaweka mahala pazuri baada festival kuisha hao wasanii wapya tunawaona kila siku hivyo wasafi walikuwa sahihi kufanya tamasha na wasanii wakongwe ili na sie was miaka ya 80 tukumbuke tulipotoka
 
Sikukuu ya kitaifa ilikuwa jana , zitakazo kuja tena ujue ni zakundi maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…