Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

joseph1989 njoo unisaidie kucheka hili jamaa lina matatizo hadi sasa halijui hakuna media kutoka Tanzania inayoonekana Africa nzima.

Alafu tuliache kama lilivyo hakuna kulielewesha tucheke tu tuendelee na yetu
 
🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwahyo akiwa n.a. viewers wengi ndo nin watu wengi wamenunua ticket kwasab ya BRAND lakini kiukwel kilicho fanyika sijaona yan bado wanahitaj experience zaid yan bado sijaona balaa zito jana halikuepo
Viewers walifika 25K YouTube unajua ni inshara gani kwa Tamasha na media kwa ujumla?

Umeuliza akiwa na viewers wengi ndio nini ile ni hela na ile ni uthibitisho wa jinsi alivyo mkubwa kupata viewers wanao stream live 23K + kiafrika afrika unafikiri mchezo.
Acha roho mbaya wewe umekaa kodo usiku kucha alafu unaponda mashudu yako wapelekee nguruwe.

Simba killed it hutaki meza wembe
 
Ona lilivyo lichawi janaume zima kujiita majina ya kike hamna mabwana humu.
 
Wewe Simba unamjua unamsikia umekaa kodo mpaka Simba kaimba unafikiri ni mchezo?

Ni mmoja wa wasanii watano bora Africa nzima unaleta ushubwada hapa Simba akienda sehemu Yoyote africa mashariki na kati shughuli zina simama wewe ni best performer na ni best Singer
Hizo chuki zako peleka huko ukasikilize mshumaa maana ushaumizwa wewe
 
Nasikia,japo sijui kwakua si mfatiliaji wa bongo flava..






Unajua ulicho kiandika..izi pumba mna tumiaga nini kuandika ..kama ujui kaa kimya sio kuandika vitu usivyo jua
Heshimu mawazo ya watu.

Kila mtu ana Uhuru wa kusema anachotaka.
 
Show ilikuwa poa ila DJ ni tatizo kubwa.

Pia wasanii wengi hawakujipanga maana sauti zao zilikuwa hazieleweki
 
thanks for watching wasafi
haters hawajui wahate nini
hawajui wasapoti nini
Haters wa Bongo mkuu ukiwafatilia unaweza kucheka ukaanguka chini.

Anasema haipendi wasafi show mbovu, goma la baba lao baya alafu anayo kwenye playlist ya Tecno yake wasafi tv alilipia au alikuwa YouTube😂😂😂😂
 
Vijana mna akili za ki ccm sana
Kila mtu ambaye atajaribu kuikosoa serikali ama toa ushauri; mmoja kwa mmoja mnaitimisha haipendi serikali.

Wameanza vizuri lakini kuna vitu kibao inabidi wavi improve. Baadhi ni kama

Sound ilikuwa mbovu next time wamfatafute mtu sahihi.

DJ bora wangemuacha omy crazy sio yule DJ wao alikuwa kapoa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…