Hili tangazo la MUNIO sijui nini station sisi wahehe hatupendi

Hili tangazo la MUNIO sijui nini station sisi wahehe hatupendi

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,308
Reaction score
12,812
Ni matusi makubwa sana kuna kituo cha televisheni kila baada ya mechi za ligi kuu Tanzania bara wanaweka tangazo la kituo cha mafuta kinaitwa MUNIO yaani sisi Wahehe, wajukuu wa Mkwawa Mkwaaviinyika hilo ni tusi kubwa sana!!! Badilisheni jina!
 
Ni matusi makubwa sana kuna kituo cha televisheni kila baada ya mechi za ligi kuu Tanzania bara wanaweka tangazo la kituo cha mafuta kinaitwa MUNIO yaani sisi Wahehe, wajukuu wa Mkwawa hilo ni tusi kubwa sana!!! Badilisheni jina!
Si jina tu! Tulieni. Mbona Kibosho Kilimanjaro upo ukoo wa Mboro na akiitwa anaitika kwa wivu mkubwa tu?
 
Ni matusi makubwa sana kuna kituo cha televisheni kila baada ya mechi za ligi kuu Tanzania bara wanaweka tangazo la kituo cha mafuta kinaitwa MUNIO yaani sisi Wahehe, wajukuu wa Mkwawa hilo ni tusi kubwa sana!!! Badilisheni jina!
Munio abakie zake tu Arusha na Kilimanjaro. Kule wanaendana. Alijaribu kuja kuanzisha biashara yake ya mafuta Iringa, Wahehe walishindwa kulielewa hilo jina.


Nakumbuka kuna mtangazaji mmoja wa reduo ya pale Iringa mjini (Ebony Fm) Edo Bashir aliendesha kampeni kupitia kipindi alichokisimamia hadi jamaa alikimbia.

Kwa Wahehe neno MUNIO ni tusi kubwa!
 
Munio abakie zake tu Arudha na Kilimanjaro. Alijaribu kuja kuanzisha biashara yake ya mafuta Iringa, Wahehe walishindwa kulielewa hilo jina.


Nakumbuka kuna mtangazaji mmoja wa reduo ya pale Iringa mjini (Ebony Fm) Edo Bashir aliendesha kampeni kupitia kipindi alichokisimamia hadi jamaa alikimbia.

Kwa Wahehe neno MUNIO ni tusi kubwa!
Kubwa saanaa mimi kama mwanamufindi nguli naogopa hata kulitamka!!!...haya majina ya kampuni ni muhimu kumtuma consultant afanye utafiti maana ya jina husika inaweza kuwa sababu ya kupunguza wateja!!!
 
Sawa mkuu tutajaza mafuta kwa ndugu zetu NG'UMBI na MSIGWA CF & FM wana vituo nchi nzima Mbeya,Iringa,Dar,Moro mpaka Dodoma...hao ni Mkinga na Mhehe tutajaza mafuta kwao.

Ona majina yalivyokaa kibiashara, short & brief; sio jina boonge la tusi, Munio?! Aisee mhehe tukana tusi lolote sio hilo!
 
Back
Top Bottom