N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,308
- 12,812
- Thread starter
- #61
Mwenye kituo nae anarusha. Vituo vyake vina mabango na mrushaji nae kashirikiana kurusha matusi.Ndugu N'yadikwa , sio Azam ndio wenye ujasiri wa kurusha matusi!!??
Tayari humu kwenye sledi pendwa kuna makabila almost 8 yamethibitisha neno MUNIO ni tusi kubwa likimaanisha kiungo cha kutolea haja kubwa kwa binadamu. Wabadilishe hawahudumii wanyama, wanahudumia watu wenye mila tamaduni na desturi. Matusi sio desturi yetu.
Wakatabahu wabaadu fakir