Hili tangazo la MUNIO sijui nini station sisi wahehe hatupendi

Hili tangazo la MUNIO sijui nini station sisi wahehe hatupendi

Neno pajero kwa Spain maana yake ni mpiga puli 'masturbation',ilibidi Mitsubishi wabadili na kuita Mitsubishi Montero
 
Ni matusi makubwa sana kuna kituo cha televisheni kila baada ya mechi za ligi kuu Tanzania bara wanaweka tangazo la kituo cha mafuta kinaitwa MUNIO yaani sisi Wahehe, wajukuu wa Mkwawa Mkwaaviinyika hilo ni tusi kubwa sana!!! Badilisheni jina!
Hilo neno MUNIO kwa makabila mengi ni tusi.Huwezi kutamka kirejareja hadharani.Kwa wahehe,wabena,wakinga,wagogo,wanyaturu,wataturu,wanyiramba n.k ni kiungo katika mwili.
 
Ni matusi makubwa sana kuna kituo cha televisheni kila baada ya mechi za ligi kuu Tanzania bara wanaweka tangazo la kituo cha mafuta kinaitwa MUNIO yaani sisi Wahehe, wajukuu wa Mkwawa Mkwaaviinyika hilo ni tusi kubwa sana!!! Badilisheni jina!
Na,walivyo wachokozi wakawawekea hicho kituo cha mafuta mjini kabisa Kitanzini,Iringa Manispaa ili muimbe nacho.Niliwahi kupita hapo nikakiona.MUNIO FILLING STATION.Waka-edit kidogo na kukiita MUNIU.😂😂😂😂
 
Wahehe bhana mnaweza kujinyonga kwa sababu ya ishu ndogo tu hiyo hizi lugha zetu kwa wengine sio matusi na wengine ni matusi mmekomaa na jina la Munio kisa ana fedha tu hakuna kingine..
 
Hilo tusi anaanzishaje uwekekezaji hajafanya hata kautafiti kidogo. hata kama hela ni zake atuache tutashindwa kuheshimiana na wakubwa.

NI MIONGONI MWA MATUSI MAKUBWA SANA YA KIHEHE


adzuko adzuko adzuko adzuko
 
Si jina tu! Tulieni. Mbona Kibosho Kilimanjaro upo ukoo wa Mboro na akiitwa anaitika kwa wivu mkubwa tu?
Nakumbuka miaka ya 90s ilikuja timu ya taifa ya Ghana kucheza na Taifa Stars. Sasa watangazaji wa radio wakati ule kina marehemu Dominic Chilambo walikataa kutamka jina la pili(au la kwanza) la mchezaji wa Ghana wakisema kwa huku kwetu ni tusi kubwa tena la nguoni

Humu JF pia kuna ID ya Namtombe Mushi. Uchagani kinu cha kutwangia kinaitwa kiuri. Kinu ni tusi🤣😀😃
 
Ni matusi makubwa sana kuna kituo cha televisheni kila baada ya mechi za ligi kuu Tanzania bara wanaweka tangazo la kituo cha mafuta kinaitwa MUNIO yaani sisi Wahehe, wajukuu wa Mkwawa Mkwaaviinyika hilo ni tusi kubwa sana!!! Badilisheni jina!
Tuweke wazi tusio Wahehe
 
Hahaha.. . ...Niliwahi kukutana na mwamba mmoja mahali....akawa ana maelezo Kama yako.Lakini hakuwahi kusema ni tusi gani.Nilibaki nawaza " siku nikimwona nitamuuliza ni tusi gani."
Tushaeleza unataka turudie kujifafanua maana ya hiyo taboo word?!
 
Inaonekana hilo neno kwa lugha nyingi za asili hapa Tanzania ni tusi. Sijui kwanini mwenye hizo biashara hajastuka!

Na ana ujasiri kuturushia matusi kupitia azam sports
Ndugu N'yadikwa , sio Azam ndio wenye ujasiri wa kurusha matusi!!??
 
Back
Top Bottom