The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
ImanaYaani akifika huku huyo sharti la kwanza abadili jina!... ni sawa na fiworo kwa wahehe ni njegere ila kwa wanyakyusa ni kile kifanyio cha kiume...au kwitongo kwa kihehe ni bondeni ila kwa Kinyakyusa tusi
Bahati nzuri wao wako mbali...Sasa mwanakwetu anapokuja na jina tata sharti tumjulishe.....huo mfano wa njegere na bondeni kati ya Wahehe na Wanyakyusa mpaka kesho eanaheshimiana....ukiwa uheheni na wewe ni Mnyakyusa huwezi kusema kwitongo na ukiwa mhehe ukawa unyakyusani huwezi sema fiworo ukimaanisha njegere maana waisa watakutia banzi la uso!!Japan, DRC na Zambia na wenyewe wana majina tatanishi sana kwenye tafsiri ya lugha yetu ya Kiswahili.
Na Uganda pia 😂Japan, DRC na Zambia na wenyewe wana majina tatanishi sana kwenye tafsiri ya lugha yetu ya Kiswahili.
Zambia kuna Musenge na KapumbuHaha. Umenikumbusha kuna mdada anaitwa Malaya.
Nikasema huyu bora asiende Tanzania.
Akifika Tanzania hata kumuita jina tutashindwa.
Fikiria uko Kariakoo halafu unamuita "Wee Malaya wee, wee Malaya wee" 😂😂
We jamaa tutakuwa tunafahamiana...nimesoma Sawala PR School na tumesikiliza sana Sangulo kwa Selewani kilabuni na vinyungu vipo vya kutosha sana kule bonde la SPM hata kama unataka eka 10Unitafutie Vinyungu vya kulima. Niliishi Mufindi enzi za SPM Mgololo.
Mukuma MusengeHuyo barozi wa Zambia nchini Tanzania aliyezuiwa anaitwa nani?
Hio ndio maana halisi ya Afirwe Munu, Asagwile Munu.. sasa jamaa badala ya kusema Munuo wakaweka Muniokwitongo kwa kihehe ni bondeni ila kwa Kinyakyusa tusi
Sio yule Atombagwe Musenge ni Makuma Musenge au wana undugu?Mukuma Musenge
SungwilaYaani akifika huku huyo sharti la kwanza abadili jina!... ni sawa na fiworo kwa wahehe ni njegere ila kwa wanyakyusa ni kile kifanyio cha kiume...au kwitongo kwa kihehe ni bondeni ila kwa Kinyakyusa tusi
Unaposema munio ni tusi kubwa sana una maana gani?Munio abakie zake tu Arusha na Kilimanjaro. Kule wanaendana. Alijaribu kuja kuanzisha biashara yake ya mafuta Iringa, Wahehe walishindwa kulielewa hilo jina.
Nakumbuka kuna mtangazaji mmoja wa reduo ya pale Iringa mjini (Ebony Fm) Edo Bashir aliendesha kampeni kupitia kipindi alichokisimamia hadi jamaa alikimbia.
Kwa Wahehe neno MUNIO ni tusi kubwa!
Kwa hiyo unaweza ukaanzisha biashara yako ya mafuta sehemu na kuiita MKUND.U PETROL STATION? Ni kwamba hujui kuhusu taboo words, au unataka tu mabishano yasiyo na sababu?Unaposema munio ni tusi kubwa sana una maana gani?
Mkund.u mbona ni kitu anacho binadamu kinakuwaje tusi kubwa?
Kwahiyo kila mtu ana tusi kubwa sana mwilini mwake?