Mwenye kituo nae anarusha. Vituo vyake vina mabango na mrushaji nae kashirikiana kurusha matusi.
Tayari humu kwenye sledi pendwa kuna makabila almost 8 yamethibitisha neno MUNIO ni tusi kubwa likimaanisha kiungo cha kutolea haja kubwa kwa binadamu. Wabadilishe hawahudumii wanyama, wanahudumia watu wenye mila tamaduni na desturi. Matusi sio desturi yetu.