Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

Kwahiyo kuna wanawake wanaobaka wanaume??
Siwezi kusema wanabaka, ila naweka mfano kuna baadhi ya binti wa chini ya miaka 18, ukikaa nao nyumba moja, mwanaume huna hata wazo la kumtongoza na kumla, huyo binti atalazimisha kukutega kingono, ukiwa unatembea atakuziba njiani, atakushika shika mikono, atadondosha kanga mbele yako, atakupa busu la hewani, kwenye kochi atakaa karibu na wewe, atakuita handsome, mara akushike ndevu, hizo zote kisheria ni sexual assault, atafanya ivo mpaka ahakikishe umemla, mm ni shuhuda wa hili, binafsi ishantokea mara mbili

Mahusiano yakigundulika, mwanaume ndo utaonekana mbakaji, binti ataonekana kuwa ndo alishawishiwa, alitishiwa na kulazimishwa na wewe mwanaume, ilhali kiuhalisia kwa ground mambo yalikua tofauti Binti Sayuni03
 
Yani ndugu wakukutana ukubwani mara nyingi inakua ivyo ndomana naogopa kumkaribisha baba angu mdgo nyumbani kwangu licha ya ku sisitiza,(baba na familia yake nimeijua mwaka jana),.... Halooo mzee endelea kulima karanga Kondoa
 
Itabidi hili swala liwe linaangaliwa pande zote mbili aisee
 
Yani ndugu wakukutana ukubwani mara nyingi inakua ivyo ndomana naogopa kumkaribisha baba angu mdgo nyumbani kwangu licha ya ku sisitiza,(baba na familia yake nimeijua mwaka jana),.... Halooo mzee endelea kulima karanga Kondoa
Mwambie aje na mkewe😁😁
 
We nae kila saa nyuzi, zingine zitakuwa chai, tumekuchoka bana
 
Uko sahihi. Babu siku hizi anaweza muweka mjukuu, maadili yamemong'onyoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…