Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

Bora umeanza kutuletea za huzuni na kusikitisha
 
😁😁😁yaani kuhusu bangi sijui kama alivuta labda hisia zilizidi ndiyo zikampelekea hivyo, angekula ningemlaani kwanza nadhani hata yeye alikuwa na uoga maana angekuwa kadhamiria sana angenikamata kwa nguvu, tokea hilo tukio litokee hatujawahi kukutana mimi nilikata mguu hadi hii leo kwanza namuona kama siyo ndugu yetu maana hata hafanani na sisi wala mzee ndiyo maana sitaki shobo nae zaidi, kuhusu uzuri nipo kawaida tu, sina huo uzuri wa kutisha
 
Yani wewe na baba yako mmemtelekeza jamaa kwa miaka 30, alafu mnaenda kumuomba hela ya matumizi.

Punguzeni shobo.
 
Sijasoma story yote but nafikiri ww mwanamke unatakiwa unyukwe kimoja cha nguvu samahani lkn
 
Huyo ameona kama hamna uhusiano kabisa kwani kazaliwa nje ya ndoa
Halafu hamjawahi kuonana mpaka ukubwani
Alifanya makosa sana kukutongoza na hakuwa na busara kabisa
Msamehe tu
Binadamu tunapitia changamoto nyingi sana.
Wengine wanabakwa na wajomba na mpaka baba zao
Kuna psycho wengi
 
Huyo broo wenu ambae amerudi gafla after 30 yrs hajawahi kukua na nyie
Mlihitaji muda ili aweze kuzoea familia,

Sasa kaka umepigwa tukio, usijumuishe wanaume wengine
Dili na huyo kaka ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…