Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

Kumbe ubakaji upo kila mahali
 
Wewe ulikutana na malaya siyo Kaka yako!
 
Baba angu mdogo aliwahi niambia nimpe kidogo 😅😅😅😅
 
Pole sana, ukisikia ni mbwa ndiyo wanaume kama hao
 
Binafsi mwanaume pekee namuamini na watoto wangu for as long as nipo hai jinsia zote ni baba yao tu na babu. Wakibakwa na hapo basi tena

Hata nikibarikiwa kuwa na dereva wa kuwapeleka shule basi ni camera itafungwa na GPS.
 
Safi sana, lakini waamini hao wanaume wawili ila chukua tahadhari dunia imechange mno
 
Una matukio!! Hebu tuambie ulitoka tokaje hapo!! Kama Kuna vipengele vimerukwa kabisa apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…