Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

Chai
 
Muendelezo upo kila siku huwa napost miendelezo ya matukio niliyokumbana nayo
Naimani kuna matukio ambayo hutakaa uyalete mbele ya kadamnasi unless uwe umechizika.... SISI NI WANYAMA KULIKO HAO WANYAMA na UNYAMA WETU TUNAWAFANYIA WANYAMA 🙂🙂🙂
 
Pole sana
 
mtu anaebaka hasemi '' nipe kidogo'' ukaulizaakajibu.. naomba unipe kidogo.. huyo sio mbakaji alikuwa anaomba uridhie... hii ni hadithi
 
mtu anaebaka hasemi '' nipe kidogo'' ukaulizaakajibu.. naomba unipe kidogo.. huyo sio mbakaji alikuwa anaomba uridhie... hii ni hadithi
Huyu ni mbakaji nilikuwa chini ya miaka 18
 
Huyu ni mbakaji nilikuwa chini ya miaka 18
Mimi mwenyewe ni shuhuda katika hili, hivi unajua hata binti wa chini ya miaka 18 anaweza kuwa ndo sexual aggressor/mbakaji/anaeomba ngono kwa mwanaume/anaeanza kushawishi, ingawa mahusiano yakigundulika, adhabu kubwa atapewa mwanaume, mwanamke ataachwa,

Sababu kuna stereotype imejengeka kwenye jamii kua linapokuja swala la ngono mwanamke hawezi fanya kosa, na mwanamke hawezi shawishi mwanaume afanye nae ngono isio halali Binti Sayuni03
 
Kwahiyo kuna wanawake wanaobaka wanaume??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…