secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #121
Tunawapa faraja maana wao pia wana uhitaji mkuu 😎.Nashangaa wanaoihusudi mishangazi....kwanza ni minyonya damu hiyo
Tunawapa faraja maana wao pia wana uhitaji mkuu 😎.Nashangaa wanaoihusudi mishangazi....kwanza ni minyonya damu hiyo
Ngoja nipunguze Kasi.Hapo ni uendelee tu kuzichakata mpaka kichwa kiwe butu hakuna namna 😁
Nimekuja 🤣🤣🤣🤣🤣Mshangazi dot com njoo huku kuna mtu kawasha bangi kutumia mshumaa wa kanisa, njoo na kamba
😋😋😋Nimekuja 🤣🤣🤣🤣🤣
Bangi na mbege, mtakufaaaa!
Walevi mmezidi humu, si unamuona Kindege, nimemtunukia tunda akawehuka 🤣Mshangazi dot com siku hizi una view tu na kutembeaa
Hadi sasa bado akili haishiki vyema.Walevi mmezidi humu, si unamuona Kindege, nimemtunukia tunda akawehuka 🤣
Kweli kama mim ni mlevi sana wa vipapiro Mshangazi dot comWalevi mmezidi humu, si unamuona Kindege, nimemtunukia tunda akawehuka 🤣
Chezea kutemeshwa ubongo wewe, bado uzuri_hatujuani naye achizike.Hadi sasa bado akili haishiki vyema.
Leo ulitaka unimalize kabisa yaani.Chezea kutemeshwa ubongo wewe, bado uzuri_hatujuani naye achizike.
Inaitwa popo kanya jehanamu, nakubinukia nakususia uhangaike nayo 😂Leo ulitaka unimalize kabisa yaani.
Kamwe sijakutana na ulichonipa huko nyuma.
Hiyo style si ya kawaida na kwamba haimwachi mtu salama.Inaitwa popo kanyea jehanamu, nakubinukia nakususia uhangaike nayo 😂
Ukinichizisha si unajipa mzigo wewe mwenyewe, hapo ni wewe utakuwa unafanya kila kitu, mpaka bed mimi ni kulala tu,unaiamsha mwenyewe na unajiingizia mwenyewe kiufupi au basi niishie hapa tu 🤗Chezea kutemeshwa ubongo wewe, bado uzuri_hatujuani naye achizike.
Chauvivu, usiseme siri zetu nitachekwa aiseeh 😆😆😆Ukinichizisha si unajipa mzigo wewe mwenyewe, hapo ni wewe utakuwa unafanya kila kitu, mpaka bed mimi ni kulala tu,unaiamsha mwenyewe na unajiingizia mwenyewe kiufupi au basi niishie hapa tu 🤗
😅Chauvivu, usiseme siri zetu nitachekwa 😆😆😆
Got it lemme shut the f*ck up 😌🤐Chauvivu, usiseme siri zetu nitachekwa aiseeh 😆😆😆
Acha pombe huziwezAsalamaleku jukwaa!
Kwa kile nilichokiona labda kweli Kuna Mungu maana fikra zilinijaa kichwani pasina jibu sahihi.
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa maeneo fulani natembea tembea maeneo ya mto weruweru, kama mnavyojua kule Kuna fresh water yanayotoka katika kilele cha mlima kilimanjaro na watu waliyapenda yale maji pamajo na ukweli kuwa ni ya baridi kupindukia.
Siku hiyo nikamkuta mtu mmoja anaogolea katika maji ya mto ule akiwa uchi (hakuwa na nguo ya ndani), lakini kilichonishangaza ni kuwa yule jamaa ni mweupe lakini uume wake ulikuwa wa rangi nyeusi tofauti na rangi ya mwili wake.
Hii hali ilinifanya nianze kutafakari kuwa inawezekanaje mtu anakuwa mweupe halafu dushelele lake ni jeusi kama la punda wa kufugwa. Nikaanza kuamini kuwa labda Mungu kweli yupo
Kwa msaada wa akili ya mbege nikaanza kuwaza kuwa labda wakati Mungu anamuumba mtu anaumba uume kivyake na mwili kivyake kisha akimaliza anauchomeka sehemu amabapo huo uume inapaswa kuchopekwa.
Kwa akili ya mbege nikawaza kuwa labda wakati Mungu anamuumba yule jamaa aliumba uume ambao ulipaswa upachikwe kwenye mwili wa mtu mweusi lakini isivyobahati ukachopekwa katika mwili wa mtu mweupe.
Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa Mungu hayupo lakini Kila nikikumbuka like tukio Kuna sauti inaniambia kuwa labda kweli Mungu yupo.
Harmful min -me mmeona manufaa ya mbege?.
Got it lemme shut the f*ck up 😌🤐