Hili tukio nikilikumbuka kwa mbali naanza kuamini uwepo wa Mungu

Hili tukio nikilikumbuka kwa mbali naanza kuamini uwepo wa Mungu

Huyo uliyemuona ndo alikuwa mwenyezi mungu sasa , kiufupi ulitokewa na mungu laivu kama Musa ila kwasababu haukuwa na roho mtakatifu haukuweza kumtambua.
Inawezekana kabisa.
Labda alitaka kunionesha ukuu wake.
 
Asalamaleku jukwaa!

Kwa kile nilichokiona labda kweli Kuna Mungu maana fikra zilinijaa kichwani pasina jibu sahihi.

Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa maeneo fulani natembea tembea maeneo ya mto weruweru, kama mnavyojua kule Kuna fresh water yanayotoka katika kilele cha mlima kilimanjaro na watu waliyapenda yale maji pamajo na ukweli kuwa ni ya baridi kupindukia.

Siku hiyo nikamkuta mtu mmoja anaogolea katika maji ya mto ule akiwa uchi (hakuwa na nguo ya ndani), lakini kilichonishangaza ni kuwa yule jamaa ni mweupe lakini uume wake ulikuwa wa rangi nyeusi tofauti na rangi ya mwili wake.

Hii hali ilinifanya nianze kutafakari kuwa inawezekanaje mtu anakuwa mweupe halafu dushelele lake ni jeusi kama la punda wa kufugwa. Nikaanza kuamini kuwa labda Mungu kweli yupo

Kwa msaada wa akili ya mbege nikaanza kuwaza kuwa labda wakati Mungu anamuumba mtu anaumba uume kivyake na mwili kivyake kisha akimaliza anauchomeka sehemu amabapo huo uume inapaswa kuchopekwa.

Kwa akili ya mbege nikawaza kuwa labda wakati Mungu anamuumba yule jamaa aliumba uume ambao ulipaswa upachikwe kwenye mwili wa mtu mweusi lakini isivyobahati ukachopekwa katika mwili wa mtu mweupe.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa Mungu hayupo lakini Kila nikikumbuka like tukio Kuna sauti inaniambia kuwa labda kweli Mungu yupo.

Harmful min -me mmeona manufaa ya mbege?.
Yaani kwa umri wako huo hauamini uwepo wa mungu!!?, Dalili uzioni, mazingira,viumbe hai nk nk!! 🤭🤭
 
Back
Top Bottom