Hili tukio nikilikumbuka kwa mbali naanza kuamini uwepo wa Mungu

Huyo uliyemuona ndo alikuwa mwenyezi mungu sasa , kiufupi ulitokewa na mungu laivu kama Musa ila kwasababu haukuwa na roho mtakatifu haukuweza kumtambua.
Inawezekana kabisa.
Labda alitaka kunionesha ukuu wake.
 
Yaani kwa umri wako huo hauamini uwepo wa mungu!!?, Dalili uzioni, mazingira,viumbe hai nk nk!! 🀭🀭
 
Yaani unaongea dushe Lele wewe jamaa bhn,

Afu we ni mrangi wa kondoa unahusisha vipi mbege, na mambo ya hovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…