Hili zoezi la kutoa documentary, Yanga wamekurupuka

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja.

Kwa vipande nilivyoona vya tangazo, nimeona ni wazo zuri sana na ina uwezo wa kuwa makala nzuri ingawa najua itaharibiwa na mambo kadhaa. Leo nitagusia mambo kadhaa kwa nini nasema Yanga wamekurupuka na wazo hili.

1. Muda waliotangaza kuitoa. Filamu mpya siku zote huwa zinazinduliwa weekend kuanzia Ijumaa. Kuzindua hiyo makala Jumatatu kunaleta hisia kuwa mnataka kufifisha vibe la Jumapili la Simba hasa kama wachezaji wa Simba wataonyesha performance ya hali ya juu. Jumatatu watu wanaanza pilika za wiki, pia gumzo linaweza bado kutawaliwa na kitakachojiri Jumapili. Mkiongea vizuri na mimi, kesho nitawapa njia pekee ya kutumia makala hii kuzima vibe la Simba.

2. Kumtumia Hersi kama muhusika mkuu wa makala. Kwa vipande nilivyoona inaonyesha hii makala imetengenezwa zaidi kuonyesha jinsi Hersi alivyokuwa injini ya mafanikio ya Yanga. Tangazo la picha na hata video halijamuonyesha kabisa Kocha Nabi. Hii tayari inajenga hisia kuwa Hersi anatumia makala hii kujipakulia minyama. Niliwahi kumsikia mtu akisema Hersi aliwahi kumwambia Nabi asidhani yeye Nabi ndiyo sababu ya mafanikio ya Yanga na hiyo ni moja ya vitu vilivyomkata stimu kabisa Nabi kuwepo pale Yanga. Kwa nilichoona mpaka sasa naanza kuamini.

3. Hii sababu ya tatu, kubwa labda kuliko zote nitaileta kesho na nina uhakika wataifanyia kazi baada tu ya kuileta hapa.

Kwa kumalizia, hii makala ingenoga zaidi kama ingezinduliwa kwenye wiki ya Yanga hasa siku moja kabla tu ya mechi na Kaizer Chiefs. Ingeweza hata kuboost watazamaji. Au inawezekana hii ni moja ya project zilizovurugwa na kibegi ndiyo maana wanaonekana wamepoa sana toka wiki ile?

Nitaendelea kesho.
 
Tickets Majukwaa yote Sold out...!

Mauzo ya Ving'amuzi Azam Yapaa wiki hii...!

Wengi wanaomiliki Azam decoder ambao viliisha wamelipia wiki hii ili wasipitwe Siku iyo...!

Vibanda umiza Vingi wanajaribu kuona ni jinsi gani wata 'ajasti' Mabenchi nafasi iongezeke kuingiza Watazamaji Wengi...!

SIMBA MMEZIDI...SASA HII SIFA...
 
Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja.

Kwa vipande nilivyoona vya tangazo, nimeona ni wazo zuri sana na ina uwezo wa kuwa makala nzuri ingawa najua itaharibiwa na mambo kadhaa. Leo nitagusia mambo kadhaa kwa nini nasema Yanga wamekurupuka na wazo hili.

1. Muda waliotangaza kuitoa. Filamu mpya siku zote huwa zinazinduliwa weekend kuanzia Ijumaa. Kuzindua hiyo makala Jumatatu kunaleta hisia kuwa mnataka kufifisha vibe la Jumapili la Simba hasa kama wachezaji wa Simba wataonyesha performance ya hali ya juu. Jumatatu watu wanaanza pilika za wiki, pia gumzo linaweza bado kutawaliwa na kitakachojiri Jumapili. Mkiongea vizuri na mimi, kesho nitawapa njia pekee ya kutumia makala hii kuzima vibe la Simba.

2. Kumtumia Hersi kama muhusika mkuu wa makala. Kwa vipande nilivyoona inaonyesha hii makala imetengenezwa zaidi kuonyesha jinsi Hersi alivyokuwa injini ya mafanikio ya Yanga. Tangazo la picha na hata video halijamuonyesha kabisa Kocha Nabi. Hii tayari inajenga hisia kuwa Hersi anatumia makala hii kujipakulia minyama. Niliwahi kumsikia mtu akisema Hersi aliwahi kumwambia Nabi asidhani yeye Nabi ndiyo sababu ya mafanikio ya Yanga na hiyo ni moja ya vitu vilivyomkata stimu kabisa Nabi kuwepo pale Yanga. Kwa nilichoona mpaka sasa naanza kuamini.

3. Hii sababu ya tatu, kubwa labda kuliko zote nitaileta kesho na nina uhakika wataifanyia kazi baada tu ya kuileta hapa.

Kwa kumalizia, hii makala ingenoga zaidi kama ingezinduliwa kwenye wiki ya Yanga hasa siku moja kabla tu ya mechi na Kaizer Chiefs. Ingeweza hata kuboost watazamaji. Au inawezekana hii ni moja ya project zilizovurugwa na kibegi ndiyo maana wanaonekana wamepoa sana toka wiki ile?

Nitaendelea kesho.
Usimpangie tajiri jinsi ya kutumia Hela yake
 
acha vitu visivokuhusu...
 
Back
Top Bottom