Hili zoezi la kutoa documentary, Yanga wamekurupuka

Hili zoezi la kutoa documentary, Yanga wamekurupuka

Hio documentary umeingalia yote unasema Nabi hayupo? huko u mbumbumbuni kwenu Robertinho ni mkubwa kuliko Mangungu? yaani Nabi ndio awe main character mbele ya Rais wa timu? wewe ni mgonjwa wa akili pumbafu zako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mbona furguson ni kumbukumbu pale man united au arsen wenger mbona kajengewa sanamu pale arsenal usitumie anal kufikiri tumia kichwa bwana
 
Na huu ukimya unajua yanga wamejifanya kama underdog kwa Sasa ila ule mpira na Kaizer umepeleka alarm Moja mbaya sana is matter of time ila huu msimu Simba na Azam watakuwa disappointed sana
Yanga atabaki kuwa underdog nakukumbusha tu mpira sio vita..samba mtakalopigiwa na robertinho mtapoteana sana mtabaki kusingizia mvua
 
Yanga atabaki kuwa underdog nakukumbusha tu mpira sio vita..samba mtakalopigiwa na robertinho mtapoteana sana mtabaki kusingizia mvua
Ndio ushindani tunaoutaka ila muanze kwanza na Simba day mbele ya Samia mtaonja kikombe Cha kufungwa kwenye sherehe yenu
 
Kwa muda mrefu nimegundua kuna watu maarufu wamekuwa wanachukua maudhui ninayoleta humu ila hawatoi credit. Wanayaleta kama ni mawazo yao binafsi wakati ni wazi hii ni "plagiarism". Pamoja na kwamba ni jambo jema linaloonyesha yale ninayoandika yanafuatiliwa na kuzingatiwa, ila hili sijui limekaaje kutotoa credit? Mods Diversity, Innovator, siwezi kupata maokoto hapa kweli?

Screen Shot 2023-08-05 at 11.26.41 AM.png


Screen Shot 2023-08-05 at 11.27.25 AM.png


Naelewa mawazo ya watu yanaweza kufanana ila hii ni copy and paste!
 
Droo na JKU ..siioni nafasi yenu ngao ya jamii dhidi aya azam. Nadani fainali simba vs azam
Tuli draw na hata msimu uliopita bado tukabeba ndoo Simba huwa Haina baraka ikiwa inacheza mbele ya Rais kesho mtafurahia show ya Kiba na tundaman ili mwisho game itawaacha na maswali mengi
Kama kawaida Robert atasema "You see lem tell you this is a friendly match my players ....."
 
Simba wanatengeneza hasira kwa Yanga hii itawatokea puani kama walivyofanywa Kaizer siku ya Mwananchi
Wachezaji wa yanga watacheza jihadi Moja kubwa sana sababu ya hizi dharau mnazoonesha nyie na Azam
Yanga bingwa tena kwa trebble
TREBLE YA MKWUNDU?
 
Simba wanatengeneza hasira kwa Yanga hii itawatokea puani kama walivyofanywa Kaizer siku ya Mwananchi
Wachezaji wa yanga watacheza jihadi Moja kubwa sana sababu ya hizi dharau mnazoonesha nyie na Azam
Yanga bingwa tena kwa trebble
TREBLE YA MKWUNDU?
 
Ni kweli kabisa na hii ndio iliweka kitu kama donge kwa mashabiki ila TU hawasemi ila kuvunjika kwa benchi la Nabi hakukuwafurahisha mashabiki wa yanga na hata kuondoka kwa baadhi ya wachezaji tena wazuri kabisa hata kama ni kwa mgogoro bado nako hakujatifurahisha
Yes kitakachookoa hili donge mashabiki wasiliseme ni wachezaji kukamia Kila mechi tena kukamia haswa hasa hizi za nyumbani na hapa ndipo ushindi utakapopatikana wakati Simba naona kama wamerelax tayari
Sasa mlitaka wawazuie wasiende kutafuta changamoto zingine? Hizi akili mnazitoaga wapi?
 
Back
Top Bottom