Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Nakazia.✍️acha vitu visivokuhusu...
Mambo ya Yanga awaachie Yanga wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia.✍️acha vitu visivokuhusu...
Ni kweli Yanga msimu huu watacheza mpira wa jihadi zaidi na mimi mara kadhaa nimetoa angalizo kuhusu hilo suala. Umafia waliouanza Simba toka kwenye pre-season wasiachie wala kurelax kwa kuwa tu timu imejaa wachezaji wenye majina makubwa. Huu ni msimu wenye vita kali sana.Simba wanatengeneza hasira kwa Yanga hii itawatokea puani kama walivyofanywa Kaizer siku ya Mwananchi
Wachezaji wa yanga watacheza jihadi Moja kubwa sana sababu ya hizi dharau mnazoonesha nyie na Azam
Yanga bingwa tena kwa trebble
Na huu ukimya unajua yanga wamejifanya kama underdog kwa Sasa ila ule mpira na Kaizer umepeleka alarm Moja mbaya sana is matter of time ila huu msimu Simba na Azam watakuwa disappointed sanaNi kweli Yanga msimu huu watacheza mpira wa jihadi zaidi na mimi mara kadhaa nimetoa angalizo kuhusu hilo suala. Umafia waliouanza Simba toka kwenye pre-season wasiachie wala kurelax kwa kuwa tu timu imejaa wachezaji wenye majina makubwa. Huu ni msimu wenye vita kali sana.
Ila Yanga kweli ni underdog kwa maana halisi ya neno hilo. Imevunja benchi la ufundi, imeondokewa na nyota wake kadhaa, kwa hiyo Yanga ndiyo ana kitu cha kupruv. Sitaichukulia mechi na Kaizer kama kipimo cha ubora wa Yanga msimu huu ila nakubaliana na wewe Yanga itacheza kwa kukamia sana. Uzuri Simba na hata Azam wote wanajipanga kukamia.Na huu ukimya unajua yanga wamejifanya kama underdog kwa Sasa ila ule mpira na Kaizer umepeleka alarm Moja mbaya sana is matter of time ila huu msimu Simba na Azam watakuwa disappointed sana
Ni kweli kabisa na hii ndio iliweka kitu kama donge kwa mashabiki ila TU hawasemi ila kuvunjika kwa benchi la Nabi hakukuwafurahisha mashabiki wa yanga na hata kuondoka kwa baadhi ya wachezaji tena wazuri kabisa hata kama ni kwa mgogoro bado nako hakujatifurahishaIla Yanga kweli ni underdog kwa maana halisi ya neno hilo. Imevunja benchi la ufundi, imeondokewa na nyota wake kadhaa, kwa hiyo Yanga ndiyo ana kitu cha kupruv. Sitaichukulia mechi na Kaizer kama kipimo cha ubora wa Yanga msimu huu ila nakubaliana na wewe Yanga itacheza kwa kukamia sana. Uzuri Simba na hata Azam wote wanajipanga kukamia.
Uko sahihi kabisa 👏👏Ni kweli kabisa na hii ndio iliweka kitu kama donge kwa mashabiki ila TU hawasemi ila kuvunjika kwa benchi la Nabi hakukuwafurahisha mashabiki wa yanga na hata kuondoka kwa baadhi ya wachezaji tena wazuri kabisa hata kama ni kwa mgogoro bado nako hakujatifurahisha
Yes kitakachookoa hili donge mashabiki wasiliseme ni wachezaji kukamia Kila mechi tena kukamia haswa hasa hizi za nyumbani na hapa ndipo ushindi utakapopatikana wakati Simba naona kama wamerelax tayari
Itakuwa filamu ya Kwanza kuonyesha washiriki wote kwenye trailer.Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja.
Kwa vipande nilivyoona vya tangazo, nimeona ni wazo zuri sana na ina uwezo wa kuwa makala nzuri ingawa najua itaharibiwa na mambo kadhaa. Leo nitagusia mambo kadhaa kwa nini nasema Yanga wamekurupuka na wazo hili.
1. Muda waliotangaza kuitoa. Filamu mpya siku zote huwa zinazinduliwa weekend kuanzia Ijumaa. Kuzindua hiyo makala Jumatatu kunaleta hisia kuwa mnataka kufifisha vibe la Jumapili la Simba hasa kama wachezaji wa Simba wataonyesha performance ya hali ya juu. Jumatatu watu wanaanza pilika za wiki, pia gumzo linaweza bado kutawaliwa na kitakachojiri Jumapili. Mkiongea vizuri na mimi, kesho nitawapa njia pekee ya kutumia makala hii kuzima vibe la Simba.
2. Kumtumia Hersi kama muhusika mkuu wa makala. Kwa vipande nilivyoona inaonyesha hii makala imetengenezwa zaidi kuonyesha jinsi Hersi alivyokuwa injini ya mafanikio ya Yanga. Tangazo la picha na hata video halijamuonyesha kabisa Kocha Nabi. Hii tayari inajenga hisia kuwa Hersi anatumia makala hii kujipakulia minyama. Niliwahi kumsikia mtu akisema Hersi aliwahi kumwambia Nabi asidhani yeye Nabi ndiyo sababu ya mafanikio ya Yanga na hiyo ni moja ya vitu vilivyomkata stimu kabisa Nabi kuwepo pale Yanga. Kwa nilichoona mpaka sasa naanza kuamini.
3. Hii sababu ya tatu, kubwa labda kuliko zote nitaileta kesho na nina uhakika wataifanyia kazi baada tu ya kuileta hapa.
Kwa kumalizia, hii makala ingenoga zaidi kama ingezinduliwa kwenye wiki ya Yanga hasa siku moja kabla tu ya mechi na Kaizer Chiefs. Ingeweza hata kuboost watazamaji. Au inawezekana hii ni moja ya project zilizovurugwa na kibegi ndiyo maana wanaonekana wamepoa sana toka wiki ile?
Nitaendelea kesho.
Trailer inaonyesha washirika wakuu na wataalamu wa filamu wakiangalie ile trailer watakwambia Hersi ndiyo anaonekana kama ndiyo mshirika mkuu. Shot ya kwanza tu haimuonyeshi Mayele, Diarra au Aziz Ki bali yeye.Itakuwa filamu ya Kwanza kuonyesha washiriki wote kwenye trailer.
Unataka Mayele awe mkubwa mbele ya Rais hivi unaelewa Hersi ndio ana wakilisha wanachama? Labda huko kwenu Chama ni mkubwa kuliko MangunguTrailer inaonyesha washirika wakuu na wataalamu wa filamu wakiangalie ile trailer watakwambia Hersi ndiyo anaonekana kama ndiyo mshirika mkuu. Shot ya kwanza tu haimuonyeshi Mayele, Diarra au Aziz Ki bali yeye.
Anahangaika kama kuku mteteaHata usiendelee kwa maana hakuna atakayekusikiliza
Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja.
Kwa vipande nilivyoona vya tangazo, nimeona ni wazo zuri sana na ina uwezo wa kuwa makala nzuri ingawa najua itaharibiwa na mambo kadhaa. Leo nitagusia mambo kadhaa kwa nini nasema Yanga wamekurupuka na wazo hili.
1. Muda waliotangaza kuitoa. Filamu mpya siku zote huwa zinazinduliwa weekend kuanzia Ijumaa. Kuzindua hiyo makala Jumatatu kunaleta hisia kuwa mnataka kufifisha vibe la Jumapili la Simba hasa kama wachezaji wa Simba wataonyesha performance ya hali ya juu. Jumatatu watu wanaanza pilika za wiki, pia gumzo linaweza bado kutawaliwa na kitakachojiri Jumapili. Mkiongea vizuri na mimi, kesho nitawapa njia pekee ya kutumia makala hii kuzima vibe la Simba.
2. Kumtumia Hersi kama muhusika mkuu wa makala. Kwa vipande nilivyoona inaonyesha hii makala imetengenezwa zaidi kuonyesha jinsi Hersi alivyokuwa injini ya mafanikio ya Yanga. Tangazo la picha na hata video halijamuonyesha kabisa Kocha Nabi. Hii tayari inajenga hisia kuwa Hersi anatumia makala hii kujipakulia minyama. Niliwahi kumsikia mtu akisema Hersi aliwahi kumwambia Nabi asidhani yeye Nabi ndiyo sababu ya mafanikio ya Yanga na hiyo ni moja ya vitu vilivyomkata stimu kabisa Nabi kuwepo pale Yanga. Kwa nilichoona mpaka sasa naanza kuamini.
3. Hii sababu ya tatu, kubwa labda kuliko zote nitaileta kesho na nina uhakika wataifanyia kazi baada tu ya kuileta hapa.
Kwa kumalizia, hii makala ingenoga zaidi kama ingezinduliwa kwenye wiki ya Yanga hasa siku moja kabla tu ya mechi na Kaizer Chiefs. Ingeweza hata kuboost watazamaji. Au inawezekana hii ni moja ya project zilizovurugwa na kibegi ndiyo maana wanaonekana wamepoa sana toka wiki ile?
Nitaendelea kesho.
Hii Ni mojawapo ya program siku ya tamasha la Simba . Hivyo wameiba hii idea ili ionekane ni ya kwao.Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja.
Kwa vipande nilivyoona vya tangazo, nimeona ni wazo zuri sana na ina uwezo wa kuwa makala nzuri ingawa najua itaharibiwa na mambo kadhaa. Leo nitagusia mambo kadhaa kwa nini nasema Yanga wamekurupuka na wazo hili.
1. Muda waliotangaza kuitoa. Filamu mpya siku zote huwa zinazinduliwa weekend kuanzia Ijumaa. Kuzindua hiyo makala Jumatatu kunaleta hisia kuwa mnataka kufifisha vibe la Jumapili la Simba hasa kama wachezaji wa Simba wataonyesha performance ya hali ya juu. Jumatatu watu wanaanza pilika za wiki, pia gumzo linaweza bado kutawaliwa na kitakachojiri Jumapili. Mkiongea vizuri na mimi, kesho nitawapa njia pekee ya kutumia makala hii kuzima vibe la Simba.
2. Kumtumia Hersi kama muhusika mkuu wa makala. Kwa vipande nilivyoona inaonyesha hii makala imetengenezwa zaidi kuonyesha jinsi Hersi alivyokuwa injini ya mafanikio ya Yanga. Tangazo la picha na hata video halijamuonyesha kabisa Kocha Nabi. Hii tayari inajenga hisia kuwa Hersi anatumia makala hii kujipakulia minyama. Niliwahi kumsikia mtu akisema Hersi aliwahi kumwambia Nabi asidhani yeye Nabi ndiyo sababu ya mafanikio ya Yanga na hiyo ni moja ya vitu vilivyomkata stimu kabisa Nabi kuwepo pale Yanga. Kwa nilichoona mpaka sasa naanza kuamini.
3. Hii sababu ya tatu, kubwa labda kuliko zote nitaileta kesho na nina uhakika wataifanyia kazi baada tu ya kuileta hapa.
Kwa kumalizia, hii makala ingenoga zaidi kama ingezinduliwa kwenye wiki ya Yanga hasa siku moja kabla tu ya mechi na Kaizer Chiefs. Ingeweza hata kuboost watazamaji. Au inawezekana hii ni moja ya project zilizovurugwa na kibegi ndiyo maana wanaonekana wamepoa sana toka wiki ile?
Nitaendelea kesho.
Timing tu ya uzinduzi inaonyesha ni kama haikuwa kwenye plan zao. Nilikuwa sahihi kusema wamekurupuka.Hii Ni mojawapo ya program siku ya tamasha la Simba . Hivyo wameiba hii idea ili ionekane ni ya kwao.
Lkn Simba watafanya jumapili halafu watafuata wao.
Leo hata watu wa makumbusho ya taifa walikua wanazungumzia hii idea ya Simba, na watashiriki siku ya Simba day.
So utopolo wanafanya Jambo ambalo hawakua na maandalizi nalo. Mwendo wa kuiga na kuumbuka!
Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja.
Kwa vipande nilivyoona vya tangazo, nimeona ni wazo zuri sana na ina uwezo wa kuwa makala nzuri ingawa najua itaharibiwa na mambo kadhaa. Leo nitagusia mambo kadhaa kwa nini nasema Yanga wamekurupuka na wazo hili.
1. Muda waliotangaza kuitoa. Filamu mpya siku zote huwa zinazinduliwa weekend kuanzia Ijumaa. Kuzindua hiyo makala Jumatatu kunaleta hisia kuwa mnataka kufifisha vibe la Jumapili la Simba hasa kama wachezaji wa Simba wataonyesha performance ya hali ya juu. Jumatatu watu wanaanza pilika za wiki, pia gumzo linaweza bado kutawaliwa na kitakachojiri Jumapili. Mkiongea vizuri na mimi, kesho nitawapa njia pekee ya kutumia makala hii kuzima vibe la Simba.
2. Kumtumia Hersi kama muhusika mkuu wa makala. Kwa vipande nilivyoona inaonyesha hii makala imetengenezwa zaidi kuonyesha jinsi Hersi alivyokuwa injini ya mafanikio ya Yanga. Tangazo la picha na hata video halijamuonyesha kabisa Kocha Nabi. Hii tayari inajenga hisia kuwa Hersi anatumia makala hii kujipakulia minyama. Niliwahi kumsikia mtu akisema Hersi aliwahi kumwambia Nabi asidhani yeye Nabi ndiyo sababu ya mafanikio ya Yanga na hiyo ni moja ya vitu vilivyomkata stimu kabisa Nabi kuwepo pale Yanga. Kwa nilichoona mpaka sasa naanza kuamini.
3. Hii sababu ya tatu, kubwa labda kuliko zote nitaileta kesho na nina uhakika wataifanyia kazi baada tu ya kuileta hapa.
Kwa kumalizia, hii makala ingenoga zaidi kama ingezinduliwa kwenye wiki ya Yanga hasa siku moja kabla tu ya mechi na Kaizer Chiefs. Ingeweza hata kuboost watazamaji. Au inawezekana hii ni moja ya project zilizovurugwa na kibegi ndiyo maana wanaonekana wamepoa sana toka wiki ile?
Nitaendelea kesho.
Mmeshindwa kwenda kwenye tamasha kisa kiingilio, leo hii mnaandaliwa makala ambayo wanaalikwa watu wa bongo movie na wanasiasa ambao hata viwanjani hawaendagi. Halafu mnaulizwa "Are you invited?". Jibu kama shabiki mandazi.Watu mna matatizo sana asee. Huyu Eng anawaumiza sana mpaka hamuelewi mfanye nini
Mbumbumbu on one and twoMmeshindwa kwenda kwenye tamasha kisa kiingilio, leo hii mnaandaliwa makala ambayo wanaalikwa watu wa bongo movie na wanasiasa ambao hata viwanjani hawaendagi. Halafu mnaulizwa "Are you invited?". Jibu kama shabiki mandazi.