Hili zoezi la kutoa documentary, Yanga wamekurupuka

Simba wanatengeneza hasira kwa Yanga hii itawatokea puani kama walivyofanywa Kaizer siku ya Mwananchi
Wachezaji wa yanga watacheza jihadi Moja kubwa sana sababu ya hizi dharau mnazoonesha nyie na Azam
Yanga bingwa tena kwa trebble
 
Ni kweli Yanga msimu huu watacheza mpira wa jihadi zaidi na mimi mara kadhaa nimetoa angalizo kuhusu hilo suala. Umafia waliouanza Simba toka kwenye pre-season wasiachie wala kurelax kwa kuwa tu timu imejaa wachezaji wenye majina makubwa. Huu ni msimu wenye vita kali sana.
 
Na huu ukimya unajua yanga wamejifanya kama underdog kwa Sasa ila ule mpira na Kaizer umepeleka alarm Moja mbaya sana is matter of time ila huu msimu Simba na Azam watakuwa disappointed sana
 
Na huu ukimya unajua yanga wamejifanya kama underdog kwa Sasa ila ule mpira na Kaizer umepeleka alarm Moja mbaya sana is matter of time ila huu msimu Simba na Azam watakuwa disappointed sana
Ila Yanga kweli ni underdog kwa maana halisi ya neno hilo. Imevunja benchi la ufundi, imeondokewa na nyota wake kadhaa, kwa hiyo Yanga ndiyo ana kitu cha kupruv. Sitaichukulia mechi na Kaizer kama kipimo cha ubora wa Yanga msimu huu ila nakubaliana na wewe Yanga itacheza kwa kukamia sana. Uzuri Simba na hata Azam wote wanajipanga kukamia.
 
Ni kweli kabisa na hii ndio iliweka kitu kama donge kwa mashabiki ila TU hawasemi ila kuvunjika kwa benchi la Nabi hakukuwafurahisha mashabiki wa yanga na hata kuondoka kwa baadhi ya wachezaji tena wazuri kabisa hata kama ni kwa mgogoro bado nako hakujatifurahisha
Yes kitakachookoa hili donge mashabiki wasiliseme ni wachezaji kukamia Kila mechi tena kukamia haswa hasa hizi za nyumbani na hapa ndipo ushindi utakapopatikana wakati Simba naona kama wamerelax tayari
 
Uko sahihi kabisa 👏👏
 
Itakuwa filamu ya Kwanza kuonyesha washiriki wote kwenye trailer.
 
Itakuwa filamu ya Kwanza kuonyesha washiriki wote kwenye trailer.
Trailer inaonyesha washirika wakuu na wataalamu wa filamu wakiangalie ile trailer watakwambia Hersi ndiyo anaonekana kama ndiyo mshirika mkuu. Shot ya kwanza tu haimuonyeshi Mayele, Diarra au Aziz Ki bali yeye.
 
Unataka Mayele awe mkubwa mbele ya Rais hivi unaelewa Hersi ndio ana wakilisha wanachama? Labda huko kwenu Chama ni mkubwa kuliko Mangungu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
"nimekuwa na kawadia ya kuikosoa Yanga"
 
Hii Ni mojawapo ya program siku ya tamasha la Simba . Hivyo wameiba hii idea ili ionekane ni ya kwao.

Lkn Simba watafanya jumapili halafu watafuata wao.

Leo hata watu wa makumbusho ya taifa walikua wanazungumzia hii idea ya Simba, na watashiriki siku ya Simba day.

So utopolo wanafanya Jambo ambalo hawakua na maandalizi nalo. Mwendo wa kuiga na kuumbuka!
 
Timing tu ya uzinduzi inaonyesha ni kama haikuwa kwenye plan zao. Nilikuwa sahihi kusema wamekurupuka.

Nilichogundua siku hizi, Yanga ikiona Simba imefanya kitu fulani bora au cha kimpira inachodhani itasimangwa nacho, haisubiri msimu ujao au muda mrefu kukifanya. Huko mbele wanasimba wakikisema, watasema, ona na sisi tulifanya tena msimu huo huo pamoja na kwamba timing inaweza kuonyesha muda ulivyopishana. Kwenye preseason hii tu nimeliona kama mara mbili. Naweza kukuamini ukisema hivyo, hii tena unayosema inaweza kuwa ya tatu.
 
Watu mna matatizo sana asee. Huyu Eng anawaumiza sana mpaka hamuelewi mfanye nini
Mmeshindwa kwenda kwenye tamasha kisa kiingilio, leo hii mnaandaliwa makala ambayo wanaalikwa watu wa bongo movie na wanasiasa ambao hata viwanjani hawaendagi. Halafu mnaulizwa "Are you invited?". Jibu kama shabiki mandazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…