Mbona furguson ni kumbukumbu pale man united au arsen wenger mbona kajengewa sanamu pale arsenal usitumie anal kufikiri tumia kichwa bwanaHio documentary umeingalia yote unasema Nabi hayupo? huko u mbumbumbuni kwenu Robertinho ni mkubwa kuliko Mangungu? yaani Nabi ndio awe main character mbele ya Rais wa timu? wewe ni mgonjwa wa akili pumbafu zako
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yanga atabaki kuwa underdog nakukumbusha tu mpira sio vita..samba mtakalopigiwa na robertinho mtapoteana sana mtabaki kusingizia mvuaNa huu ukimya unajua yanga wamejifanya kama underdog kwa Sasa ila ule mpira na Kaizer umepeleka alarm Moja mbaya sana is matter of time ila huu msimu Simba na Azam watakuwa disappointed sana
furguson ndio nani? mbona kama wewe unatumia analMbona furguson ni kumbukumbu pale man united au arsen wenger mbona kajengewa sanamu pale arsenal usitumie anal kufikiri tumia kichwa bwana
Ndio ushindani tunaoutaka ila muanze kwanza na Simba day mbele ya Samia mtaonja kikombe Cha kufungwa kwenye sherehe yenuYanga atabaki kuwa underdog nakukumbusha tu mpira sio vita..samba mtakalopigiwa na robertinho mtapoteana sana mtabaki kusingizia mvua
Mwaka huu mtamkataa , hilo nina hakika nalo. Subiri Muda utaongea .Na ndio kwanza ana mwaka mmoja bado mitatu wata nyooka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wewe ni mtume au mnajimu?Mwaka huu mtamkataa , hilo nina hakika nalo. Subiri Muda utaongea .
furguson ndio nani? mbona kama wewe unatumia anal
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Droo na JKU ..siioni nafasi yenu ngao ya jamii dhidi aya azam. Nadani fainali simba vs azamNdio ushindani tunaoutaka ila muanze kwanza na Simba day mbele ya Samia mtaonja kikombe Cha kufungwa kwenye sherehe yenu
Tuli draw na hata msimu uliopita bado tukabeba ndoo Simba huwa Haina baraka ikiwa inacheza mbele ya Rais kesho mtafurahia show ya Kiba na tundaman ili mwisho game itawaacha na maswali mengiDroo na JKU ..siioni nafasi yenu ngao ya jamii dhidi aya azam. Nadani fainali simba vs azam
Afu umelike comment yangu!!you must be very stupid kijana wanguMashabiki mnaopenda kutumia hizi lugha za kichokoraa humu jukwaani huwa mnanikwaza sana.
Choko baba ako,sorry kwa kutumia neno hiloMostly wanakuaga machoko,
Sorry Kwa kutumia Hilo neno mkuu,ila ndivyo wanavyokua
Wana depression wamebakiza matusi tu
Ok
Au sioChoko baba ako,sorry kwa kutumia neno hilo
TREBLE YA MKWUNDU?Simba wanatengeneza hasira kwa Yanga hii itawatokea puani kama walivyofanywa Kaizer siku ya Mwananchi
Wachezaji wa yanga watacheza jihadi Moja kubwa sana sababu ya hizi dharau mnazoonesha nyie na Azam
Yanga bingwa tena kwa trebble
TREBLE YA MKWUNDU?Simba wanatengeneza hasira kwa Yanga hii itawatokea puani kama walivyofanywa Kaizer siku ya Mwananchi
Wachezaji wa yanga watacheza jihadi Moja kubwa sana sababu ya hizi dharau mnazoonesha nyie na Azam
Yanga bingwa tena kwa trebble
Sasa mlitaka wawazuie wasiende kutafuta changamoto zingine? Hizi akili mnazitoaga wapi?Ni kweli kabisa na hii ndio iliweka kitu kama donge kwa mashabiki ila TU hawasemi ila kuvunjika kwa benchi la Nabi hakukuwafurahisha mashabiki wa yanga na hata kuondoka kwa baadhi ya wachezaji tena wazuri kabisa hata kama ni kwa mgogoro bado nako hakujatifurahisha
Yes kitakachookoa hili donge mashabiki wasiliseme ni wachezaji kukamia Kila mechi tena kukamia haswa hasa hizi za nyumbani na hapa ndipo ushindi utakapopatikana wakati Simba naona kama wamerelax tayari