Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Dew drop yana design mbaya ya chupa kuliko maji yoyote Tz na Dunaini, in term of appearance design inavutia ila kwa matumizi jau, ukiiahika chupa inabonyea yaani huwezi ibeba kwa kuishika inabonyea laini sana Uncomfortable.Yanaitwa Dew drop tatizo yana bei, yale madogo buku
Halafu ni matamu
Afya anakimbiza katibia Tanzania nzima, hill ni regional sana sana ipo dar na bagamoyo.
Kilimanjaro water & Dasani hawana mpinzani hapa Tanzania [emoji1241]
Maji ya Kilimanjaro ushindani umekuwa mkubwa mpaka kaamua kushusha bei zimekuwa kama maji mengineKilimanjaro haina tofauti na maji ya kisima tena visima vya dodoma chumvi,
sawaKilimanjaro haina tofauti na maji ya kisima tena visima vya dodoma chumvi,
Kwani Kilimanjaro siyo mchagga.Hillary Shoo, Mmiliki wa Hill water.
So hill ni kifupi Cha Hillary.
Uhai siku hizi haya-taste kama magadi? Haya ndiyo maji ambayo nikiyanywa nakunywa kwa sababu karibu hakuna mengine.Kwenye maji wabongo Tunaangalia ujazo, na kwenye hili bc uhai ndiye bingwa.
Acha wewe maji yanayokimbiza ya 100 dripu mifuko ya ashkrimu.[emoji23] ila mbona kama afya ndio anakimbiza sana
Wanauzia quality afya na hill wanakimbiza.Kazungumzia hill, uhai na kilimanjaro.
Pangani ndio hawa wapo keko hapa nahisi wana kiwanda chao.Afya alikuwa mkombozi wa wengi alipopata TU jina kapandisha bei buku.
Watu wanakimbilia
Pangani ujazo wa 1.6 kwa sh 500.
Uhai chumvi zilimuharibia.
Klm anauzia jina quality hana
Yanaitwa jambo Toka kiwanda Cha jambo food.Pangani ndio hawa wapo keko hapa nahisi wana kiwanda chao.
Kilimanjaro kapigwa Tko ya maana yaani kapotea hata kweny seminars humuoni
..
Kanda ya ziwa wana maji yao kiwanda kipo shinyanga ni hayo tu kila kona ,ukikaa huwezi kujua brands nyingine ,kile kiwanda matangazo mpaka kweny mawe😅😅
Hatari nimekaa pale ni yale ,sema jamaa ana soko zuri sana kule maana wtu ni wengi mpaka singida anatawala ...Yanaitwa jambo Toka kiwanda Cha jambo food.
Ndio Azam ya wasukuma Kanda ya ziwa.
Wife alikuja na maji Yao yapo POA test nzuri kama afya na hill
Arusha Afya ameshapindua meza kibabe kabisa,kilimanjaro ana packaging mbaya sana,arusha kuna viwanda vingi vya maji,ila afya amepiku woteKanda ya ziwa bila jambo bado sana
Katavi,rukwa,songwe bila dew drop utapotea.
Arusha,kilimanjaro kilimanjaro
nb: wekeni na huko kwenu.
Hakuna maji mabaya Tz kama maji ya jambo kuna kipindi yalikua na harufu ya udongoKanda ya ziwa bila jambo bado sana
Katavi,rukwa,songwe bila dew drop utapotea.
Arusha,kilimanjaro kilimanjaro
nb: wekeni na huko kwenu.