Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hii kitu ni noma. Na bei yake imesimama
IMG_7504.jpeg
 
Maji competition inazidi kuwa tamu, GSM water naye ndani kwenye maji
1.Uhai-
2.Afya
3.Masafi
4.Hill
5.Dasani
6.Kilimanjaro
7.GSM water
8.Dew Drop
9.Cool blue -kabase kwenye maji makubwa
10.Kisima
11.Sequa
12.Diamond drops
13.Aqua rock

Kanda ya ziwa kuna Jambo
 
Kuna spiritual power ambayo haionekani ni ama uombe Mungu au uroge nothing less
Hill anajua sana kuanzia maji, vinywaji baridi, vyakula vya mifugo, hadi chicken (hapa kwenye chicken Interchick wajiangalie sana)

Huyu mwamba kaja kufanya mapinduzi makubwa sana

Mungu hausiki kwenye mafanikio ya biashara ni ubora wa bidhaa, marketing, ubunifu na nidhamu ya kazi
 
Hill anajitahidi, inakua kwa spidi Sana
 
Hill water kapenya kwa Al Qaeeda
 
Wameanza kuchuja hao. Saivi habari ya mjinj ni Dew Drop water.
 
Nipo huku kagera jambo anakimbiza sn pia shy town jambo ni mwamba
 
Kilimanjaro ya miaka hii inashika mkia tena yale wanayowatengenezea manyara na singida ndio hovyoo kabisa, pipo za kule haziwezi kuelewa sababu maji yao ya asili ni yana magadi
 
Back
Top Bottom