Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Ukraine wameweza kutengeneza Himas fake nyingi ambazo, Russian kwa kutumia makombora yake mazito yanayorushwa toka kwenye meli na submarine yamekua yakijikuata yanalenga matoi yaliyotengenezwa kwa mbao. Kumbuka kombora moja linagharimu us dollar milion1.2 na utengenezaji wake huchukua mwezi, mpaka sasa hivi matoi 10 ya himas yamelipuliwa, hii imewagharimu Urusi.
Ndio maana mwanzon Russia walidai wamelipua himas 4, siyo uongo walipiga kweli ila yalikua matoi.
Ukraine kinachowafanya kuleta upinzani kwenye taifa la Urusi, taaifa ambalo hakuna ubishi kwenye medan za kivita wako juu sana ni mbinu za kivita.
Ukraine wana mbinu nying sana kias cha kuwashangaza hata mataifa ya magharibi.
Nachoona Russia asipoangalia yatamkuta yaliyompata US kule Vietnam, maana wavetnam walikua na mbinu nyingi sana.
Source: Yahoo world news

- Ukraine has built a number of fake HIMARS truck-launched rocket systems.
- Built from wood, the fakes have cost the Russian military millions in wasted missiles.
- The deception operation is working so well that Russia claims to have destroyed more HIMARS than the U.S. government has even sent to Ukraine.
Source: Yahoo world news