Himars fake zinawagharimu Urusi

Himars fake zinawagharimu Urusi

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Ukraine wameweza kutengeneza Himas fake nyingi ambazo, Russian kwa kutumia makombora yake mazito yanayorushwa toka kwenye meli na submarine yamekua yakijikuata yanalenga matoi yaliyotengenezwa kwa mbao. Kumbuka kombora moja linagharimu us dollar milion1.2 na utengenezaji wake huchukua mwezi, mpaka sasa hivi matoi 10 ya himas yamelipuliwa, hii imewagharimu Urusi.

Ndio maana mwanzon Russia walidai wamelipua himas 4, siyo uongo walipiga kweli ila yalikua matoi.
Ukraine kinachowafanya kuleta upinzani kwenye taifa la Urusi, taaifa ambalo hakuna ubishi kwenye medan za kivita wako juu sana ni mbinu za kivita.

Ukraine wana mbinu nying sana kias cha kuwashangaza hata mataifa ya magharibi.

Nachoona Russia asipoangalia yatamkuta yaliyompata US kule Vietnam, maana wavetnam walikua na mbinu nyingi sana.
  • Ukraine has built a number of fake HIMARS truck-launched rocket systems.
  • Built from wood, the fakes have cost the Russian military millions in wasted missiles.
  • The deception operation is working so well that Russia claims to have destroyed more HIMARS than the U.S. government has even sent to Ukraine.
Ukraine’s small fleet of HIMARS rocket launchers are protected by an unlikely group of bodyguards: decoys that resemble the real thing. The decoys, constructed from wood, have repeatedly attracted the attention of Russian missile strikes. That has allowed Ukraine’s real HIMARS vehicles to continue firing in preparation for the long-awaited counteroffensive, which began this week.

Source: Yahoo world news
 
Ndio mana sasa 6 months is over na bado Russia inafikiria kupeleka wafungwa vitani askari wao wengi wameuliwa, BigUpUkrean, Ukrain wataishangaza dunia zaidi na zaidi.
 
Ndio mana sasa 6 months is over na bado Russia inafikiria kupeleka wafungwa vitani askari wao wengi wameuliwa, BigUpUkrean, Ukrain wataishangaza dunia zaidi na zaidi
Kabisa mkuu, jamaa nimewapenda bure kwa mbinu zao, ujue had US hawaamin ,maana mwanzoni kama unakumbuka US walimwambia zelesky wako tayar kumpa hifadhi, jamaa akawajibu wanachoweza hifadhi ni RAIA wake ila yeye atapambana mpaka mwisho, hii mijamaa ina moyo sana, had bunge la Russia walisema siku moja, kuwa wanajeshi wa Ukraine ni mazombi yaan hawakati tamaa.
 
... ndani ya muda mfupi tangu wapokee HIMARS, Ukraine tayari wana fake kadhaa za HIMARS ambazo zimewaingiza mavamizi hasara kubwa kazi ambayo wameifanya wakiwa katikati ya vita moja ngumu sana sio watu wa kawaida. Inaonekana hata military science and logistics yao sio ya mchezo mchezo.

No wonder Putin anataka Ukraine irudi Russia anajua ni kizazi fulani cha watu wenye akili nyingi sana ila bahati mbaya ndio hivyo hatofanikiwa.
 
Ukraine wanastahili pongezi kwa mbinu.

JAPOKUWA: Warusi wangeamua kutangaza vita kamili bila kujali aina ya silaha nadhani sasa hivi tungekuwa tunaongelea aina nyingine ya vita na si vya Ukraine sababu huenda ingekuwa imechakaa.

(Ukiachilia mbali nuclear inasemekana wana heavy bombs).

Sijajua kwann hafanyi hivyo ila nachojua sababu ya kutokufanya kwake ni kwa maslahi ya Urusi na Dunia. Iwe ni anahofia respond ya mataifa mengine makubwa au ametumia ubinadamu kuavoid vifo vingi kwa pamoja au anazuia vita ya dunia, haijalishi, Warusi wanastahili kuheshimiwa kwa maamuzi ya kivita wanayochukua.
 
Ukraine wanastahili pongezi kwa mbinu,

Ni kweli mkuu kwa Hili siwez pinga,
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
... ndani ya muda mfupi tangu wapokee HIMARS, Ukraine tayari wana fake kadhaa za HIMARS ambazo zimewaingiza mavamizi hasara kubwa kazi ambayo wameifanya wakiwa katikati ya vita moja ngumu sana sio watu wa kawaida. Inaonekana hata military science and logistics yao sio ya mchezo mchezo.

No wonder Putin anataka Ukraine irudi Russia anajua ni kizazi fulani cha watu wenye akili nyingi sana ila bahati mbaya ndio hivyo hatofanikiwa.
Na pia ukisoma history ni kwamba Ukraine ndio mama wa Russia.
Nikimaanisha kuwa taifa la Russia asili yake lilitokea kyvu mji mkuu wa Ukraine hapo ndipo Russian walipokua orgnated
 
Mimi nunachoshangaa haya madude yanafik vip kiev? Russia kashindwa kabisa control air space ya ukrain kama us alivyo control iraq? Ama ali control sema anaogopa tungua madude ya lock martin toka washington?
 
Ukraine wameweza kutengeneza Himas fake nyingi ambazo ,Russian kwa kutumia makombora yake mazito yanayorushwa toka kwenye meli na submarine yamekua yakijikuata yanalenga matoi yaliyotengenezwa kwa mbao,kumbuka kombora moja linagharimu us dollar milion1.2 na utengenezaji wake huchukua mwezi .mpaka sasa hivi matoi 10 ya himas yamelipuliwa ,hii imewagharimu Urusi.

Ndio maana mwanzon Russia walidai wamelipua himas 4, siyo uongo walipiga kweli ila yalikua matoi.
Ukraine kinachowafanya kuleta upinzani kwenye taifa la Urusi, taaifa ambalo hakuna ubishi kwenye medan za kivita wako juu sana ni mbinu za kivita.

Ukraine wana mbinu nying sana kias cha kuwashangaza hata mataifa ya magharibi.

Nachoona Russia asipoangalia yatamkuta yaliyompata US kule Vietnam, maana wavetnam walikua na mbinu nyingi sana.
  • Ukraine has built a number of fake HIMARS truck-launched rocket systems.
  • Built from wood, the fakes have cost the Russian military millions in wasted missiles.
  • The deception operation is working so well that Russia claims to have destroyed more HIMARS than the U.S. government has even sent to Ukraine.
Ukraine’s small fleet of HIMARS rocket launchers are protected by an unlikely group of bodyguards: decoys that resemble the real thing. The decoys, constructed from wood, have repeatedly attracted the attention of Russian missile strikes. That has allowed Ukraine’s real HIMARS vehicles to continue firing in preparation for the long-awaited counteroffensive, which began this week.

Source: Yahoo world news
Wanawaiti Urusi Garama kwelikweli maana kombora Moja ni $980.000 hivi
 
Na pia ukisoma history ni kwamba Ukraine ndio mama wa Russia.
Nikimaanisha kuwa taifa la Russia asili yake lilitokea kyvu mji mkuu wa Ukraine hapo ndipo Russian walipokua orgnated
Hiyo iliitwa Kievan Rus. Miaka ya 800 uko ndio ilikuwepo hiyo dynasty ikiunganisha eneo kubwa la Ukraine, eneo la Belarus na eneo kidogo la Russia ya sasa.

Baadae miaka ya 1500s akaja Ivan the Terrible akiwa Grand Prince wa Moscow na ndio akawa Tsar wa kwanza wa Russia.
 
Uko vema mkuu
 
Ukraine wanastahili pongezi kwa mbinu.

JAPOKUWA: Warusi wangeamua kutangaza vita kamili bila kujali aina ya silaha nadhani sasa hivi tungekuwa tunaongelea aina nyingine ya vita na si vya Ukraine sababu huenda ingekuwa imechakaa.
(Ukiachilia mbali nuclear inasemekana wana heavy bombs).

Sijajua kwann hafanyi hivyo ila nachojua sababu ya kutokufanya kwake ni kwa maslahi ya Urusi na Dunia. Iwe ni anahofia respond ya mataifa mengine makubwa au ametumia ubinadamu kuavoid vifo vingi kwa pamoja au anazuia vita ya dunia, haijalishi, Warusi wanastahili kuheshimiwa kwa maamuzi ya kivita wanayochukua.
Mnawapa urusi sifa wasizokuwa nazo,hata marekani angeamua kutumia siraha za maangamizi huko Vietnam asingekimbia kwa aibu,
 
Back
Top Bottom