Himars fake zinawagharimu Urusi

Baada ya kuona yanachakazwa hadharani na hamna namna ya kuzuia ukweli huo mmeamua kuja na gia hii sasa ya kuita mara MATOI mara DECOY mtayapa majina yooote ila sisi tunajua mnapigika kinyama, kwaio sasa hivi mnamonea huruma Russia kwa kupoteza makombora yake, mnajua ghalani ana stock ya kaisi gani?

Endeleeeni kujitekenya na kucheka huku mkiugulia maumivu, aibu 30+ countries vs one GIANT PUT-IN
 
Sababu kubwa ya kutofanya military mobilization ni kukwepa madhara ya kisiasa yatokanayo na vita. Ukifuatilia kila vita inayoisha duniani inasababisha madhara kisiasa na kijamii, baada ya WW2 wapiganaji waliotokea Kenya wakaanzisha Maumau, Marekani ikapata housing crisis, nchi nyingi Afrika zikataka uhuru. Urusi ndio kabisa hao mabadiliko yote hutokea baada ya vita. Bolsheviks walipata nguvu baada ya Russian empire kushindwa vita ya kwanza ya dunia na wa kulaumiwa alikuwa Tsar Nicholas II ambaye baadae wanamapinduzi walimuua na familia yake.

Vita ya pili ya dunia Soviets walivamiwa, hiyo haina budi mpigane ila ilipoisha ikaacha ideologies mbili na kusababisha Cold war. Campaign ya Soviets nchini Afghanistan dhidi ya Mujahideen ilileta madhara kiuchumi na kuishawishi duniani kwa Soviet Union, walipoamua kuondoka wakakaa miaka miwili muungano ukavunjika.

Inasemekana Waziri wa Ulinzi wa Urusi alishapendekeza mara nyingi wafanye mobilization ambayo kijeshi ni sahihi ila kisiasa sio sahihi. Putin kakaa madarakani miaka 22 sasa, ukifuatilia kwanini baada ya Iran - Iraq war Saddam Hussein aliua majenerali wake wengi wa vita, na ukifuatilia kwanini Stalin alifanya The Great Purge na kuua majenerali wake miaka ya 1930s utajua kwanini autocrats huwa wanapata shida sana na jeshi lililotoka kuwa active.
 
... wewe jamaa ni mzamivu.
 
Mnawapa urusi sifa wasizokuwa nazo,hata marekani angeamua kutumia siraha za maangamizi huko Vietnam asingekimbia kwa aibu,
Boss mm sina mahaba na Putin. Natoa maoni kulingana na namna ninavyopima uhalisia. Kuhusu Marekani na vietnam sikuwa nimewaongelea, ila wote tunaielewa nguvu ya kijeshi ya marekani.
 
Nimekuelewa vzr sana mkuu.
 
Mrusi mbwembwe nyingi ila ni wa kawaida tu, angekuwa na hizo heavy machines angeshazitumia tayari.
 
We nakujua pro Russian wa damu huwez kubal ukwel ,ila Putin angekupata ungemfaa sana maana kazidiwa
 
Kuna mikataba ya kimataifa pia itambana kumbuka Russia alienda kuivamia Ukraine akita hiyo ni operation na sio war...
Kwahiyo dhumuni la operations ilikuwa kumwondoa madarakani lkn SASA imegeuka na kuwa vita
 
Mimi nunachoshangaa haya madude yanafik vip kiev? Russia kashindwa kabisa control air space ya ukrain kama us alivyo control iraq? Ama ali control sema anaogopa tungua madude ya lock martin toka washington?
Makombora yote yanapitia Kwa hasimu mkubwa wa Russia ambaye ni Poland na Estonia kwahiyo Russia Hana ubavu wa kufanya lolote Kwa hizo nchi kwasababu ni nchi huru alafu zipo chini ya NATO
 
Vijiji vinne mkuu siyo mbaya kwa kianzio si unajua hatupigani na maboya bali tunapambana na taifa lenye msuli wa vita ?
Kama una majina niite Manunu nimekaa paleeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ€­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…