Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Kwendaaa kiini macho ponjolo wewe na yule ni wamoja una mishahara miwli ponjoloView attachment 3399073
Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wa.
Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.
Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.
CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
Halafu chawa bila aibu kabisa na kwa kubana pua wanakuambia mitano tena tena kwa MzanzibariView attachment 3399073
Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wa.
Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.
Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.
CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wa.
Huyo ameshajilipa kitambo sana, ndiye mwekezaji mwenza wa DP World .Kwani Abdul naye kadai mshahara?
Mbona china haipo hivyo?hakuna cha ajabu hapo iko hivyo na imekuwa hivyo siku zote tangia uhuru hiyo ni communism, tanzagiza ni communist, watu wengi hawaelewi maana ya communism, communist countries zote ziko hivyo yaani kuna daraja la juu wachache na chini, hakuna middle class, daraja la chini wanakamuliwa kuhudumia politburo na familia zao.
kwenye communist countries serikali ipo kwa ajili kuhudumia ruling class na politburo basi, na hiyo ni dunia nzima ambako communism iko practiced, na ndiyo maana Christian countries wako tayari kuingia vitani kutetea Capitalism angalau kwenye capitalism kuna daraja la kati, watu wa kawaida hupata kazi yenye kipato kizuri na kuweza kupanda daraja la kimaisha …
Tanzania haina hata chembe ya ukomunisti. Mfumo huo ulikufa 1985, kilichobakia ni vimelea tu ambayo vinakufa with time.hakuna cha ajabu hapo iko hivyo na imekuwa hivyo siku zote tangia uhuru hiyo ni communism, tanzagiza ni communist, watu wengi hawaelewi maana ya communism, communist countries zote ziko hivyo yaani kuna daraja la juu wachache na chini, hakuna middle class, daraja la chini wanakamuliwa kuhudumia politburo na familia zao.
kwenye communist countries serikali ipo kwa ajili kuhudumia ruling class na politburo basi, na hiyo ni dunia nzima ambako communism iko practiced, na ndiyo maana Christian countries wako tayari kuingia vitani kutetea Capitalism angalau kwenye capitalism kuna daraja la kati, watu wa kawaida hupata kazi yenye kipato kizuri na kuweza kupanda daraja la kimaisha …
🔥Tamaa tu, hii nchi ni ya kisultani, na jinsi watu walivyowanafiki, wanakula kimyakimya.
Nafikiri sera ya sasa, ukipata kinafasi kitumie ukileta uzalendo, watoto wako waipige viboko maiti yako, siku ukifa.
Mbona china haipo hivyo?
Tanzania haina hata chembe ya ukomunisti. Mfumo huo ulikufa 1985, kilichobakia ni vimelea tu ambayo vinakufa with time.
Hiyo ni familia nyonyaji sana, na mbaya zaidi wanazidi kutengeneza mikakati ya kuongeza unyonyaji,yaani hii nchi imefanywa ya kikundi cha watu wa pwaniFamilia ya kikete ni janga kwa Taifa. Gamilia inaendelea kuliangamiza Taifa.
Kenya ni nchi ya kibepari mbona hizo furusa alizosema hakuna!Mbona china haipo hivyo?