Fuatilia hao huko unaowasema.
Miaka mingi iliyopita walijimilikisha rasilmali hivi hivi.
na vipi kuhusu maendeleo walioleta kwenye nchi zao?
Fuatilia hao huko unaowasema.
Miaka mingi iliyopita walijimilikisha rasilmali hivi hivi.
Usiwe na ufinyu wa kutazama mambo, kuwa na upeo mpana zaidi.na vipi kuhusu maendeleo walioleta kwenye nchi zao?
Usiwe na ufinyu wa kutazama mambo, kuwa na upeo mpana zaidi.
Maana kwa fikra zako , basi tunao wafuatao watakuwa wana maendeleo ya kutisha:
Obiang Nguema wa Equatorial Guinea-45 years in power
Paul Biya wa Cameroon-42 years in power
Sassou Nguesso-40 years in power
Yoweri Museveni-38 years in power
King Mswati wa Eswatini ,ndo kabisa haondoki-38 years in power
Isaias Afwerki wa Eritrea-31 years in power
King Letsie wa Lesotho, naye haondoki leo wala kesho-28 years in power
Ismael Gulleh wa Djibouti-25 years
Mohammed VI wa Morocco-25years
Paul Kagame wa Rwanda-24 years
Naunga mkono hoja, kunywa soda au nyagi hapo ulipo nakuja kulipa.Tatizo letu kubwa ni wabunge wetu woote waliopitisha muswaada wa hiyo sheria ya mafao ili kutuletea Sultani.
Wananchi wasiwarudishe hata mmoja na sheria hiyo ikafutwe huko mbeleni.
Ni wafalme hakuna ubishi.Museveni na Kagame ni wafalme?
Kuna himaya ya watu wa Pwani inajijenga bila aibu.Familia ya kikete ni janga kwa Taifa. Gamilia inaendelea kuliangamiza Taifa.
Ha ha ha!Naunga mkono hoja, kunywa soda au nyagi hapo ulipo nakuja kulipa.
Sidhani kama ccm persee ina shudaCCM ni adui namba moja wa taifa hili