Himaya ya Usultani inarudi Tanzania, hata wana CCM tunashangaa

Mwenyezi MUNGU siku ya kiama nakuomba usimsahau KIKWETE tafadhali 😥
 
hakuna cha ajabu hapo iko hivyo na imekuwa hivyo siku zote tangia uhuru hiyo ni communism, tanzagiza ni communist, watu wengi hawaelewi maana ya communism, communist countries zote ziko hivyo yaani kuna daraja la juu wachache na chini, hakuna middle class, daraja la chini wanakamuliwa kuhudumia politburo na familia zao.

kwenye communist countries serikali ipo kwa ajili kuhudumia ruling class na politburo basi, na hiyo ni dunia nzima ambako communism iko practiced, na ndiyo maana Christian countries wako tayari kuingia vitani kutetea Capitalism angalau kwenye capitalism kuna daraja la kati, watu wa kawaida hupata kazi yenye kipato kizuri na kuweza kupanda daraja la kimaisha …
Wakati wa Nyerere mjamaa mama yangu akiwa mfanyakazi wa umma wizara ya Afya walikuwa wanasambaza maziwa mjini na vijijini kwenye zahanati au hospitali wanapewa akina mama na watoto bure wakienda clinic.
Shuleni na vyuoni walikuwa wanapata chakula kizuri. Chai ya maziwa na mkate. Wanafunzi wanalipiwa nauli na serikali.
Toka wakati huo hadi wakati wa Mwinyi mwishoni shule za msingi unapewa daftari bure. Karo/Ada ilifutwa au ilikuwa ndogo hadi elimu ya juu.
Huduma ya elimu bure hadi chuo kikuu.
Kulikuwa na vitabu kila mwanafunzi na vya ziada.
Shule za michepuo ya ufundi na vyuoni kulikuwa na vifaa na mitambo ya mafunzo kwa vitendo. Waliweka mpaka mashine za kuchonga vipuli.
Sasa yote hayo yaliondolewa wakati wa capitalism ya Mkapa na Kikwete.
Haya uliyo potosha hapa kawa ongopee watoto wadogo.
Zamani kila shule ya sekondari unapewa gari la shule. Leo hii shule karibu zote hazina gari Ila wapeana gari za kifahari huko ngazi za juu na viongozi wastaafu.
Wakati huo serikali ilifadhili watanzania kupata elimu Bora na ujuzi nchi za nje. Sasa hivi watu wachache sana hupelekwa kusoma nje wakitokea moja kwa moja toka elimu ya sekondari.
 
View attachment 3399073

Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wa.

Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.

Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.

CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.

Nchi ya ajabu sana hii. Imagine MTOA URODA anapata mafao mpaka kifo chake.
 
CCM ina mchango mkubwa sana kwenye kuifanya hii nchi isiyafikie yale maendeleo ya kweli. Ni kundi la watu wachache tu na familia zao ndani ya chama ndiyo wanafaidi keki ya Taifa, huku wananchi walio wengi wakiishi kwa kutaabika.
Kubwa la maadui wa kundi hilo ovu ni JK, huyu mzee halitakii mema Taifa hili.
 
Shida siyo Usultan ila ni kinachofanywa na huu Usultan...
Hata waridhishane vizazi na vizazi hakuna tatizo kama mfumo walioweka una-accomodate mpaka ndoto za vizazi vyetu vijavyo...
 
Amepata neema kutawala Tanganyika kwa kama miaka 14 hadi sasa. Anatafuta miaka mingine mitano "5" huyu BOSI WA TULIYEDHANI KUWA SISI NDO MABOSI WAKE.
 
haujaangalia tu vizuri china, wachina wengi wako tayari kuishi Chistian western countries klk china, unaangalia maghorofa tu lkn ujaua watu wa kawaida china wanavyoishi kwa hofu ? …
Wanaishi kwa hofu ya nini? Chama cha Kikomunisti cha China ndani ya miaka 30 kimeinua takribani wachina bilioni moja toka kwenye umaskini wa kutupwa
Hofu unaipata wapi ukiwa unakula Bata kama middle class ?
 
hakuna cha ajabu hapo iko hivyo na imekuwa hivyo siku zote tangia uhuru hiyo ni communism, tanzagiza ni communist, watu wengi hawaelewi maana ya communism, communist countries zote ziko hivyo yaani kuna daraja la juu wachache na chini, hakuna middle class, daraja la chini wanakamuliwa kuhudumia politburo na familia zao.

kwenye communist countries serikali ipo kwa ajili kuhudumia ruling class na politburo basi, na hiyo ni dunia nzima ambako communism iko practiced, na ndiyo maana Christian countries wako tayari kuingia vitani kutetea Capitalism angalau kwenye capitalism kuna daraja la kati, watu wa kawaida hupata kazi yenye kipato kizuri na kuweza kupanda daraja la kimaisha …
Akina Nyerere na kina Wasira na team kina Kingunge walitudanganya sana

Mfumo pekre unaojalu watu ni wa kepitalisti. Ambapo kila mtu anapambana kivyake bila kuingiliwa.

Hizi ukomunisti na ufalme wengi wanatumima kulisha wachache.
 
Wakati wa Nyerere mjamaa mama yangu akiwa mfanyakazi wa umma wizara ya Afya walikuwa wanasambaza maziwa mjini na vijijini kwenye zahanati au hospitali wanapewa akina mama na watoto bure wakienda clinic.
Shuleni na vyuoni walikuwa wanapata chakula kizuri. Chai ya maziwa na mkate. Wanafunzi wanalipiwa nauli na serikali.
Toka wakati huo hadi wakati wa Mwinyi mwishoni shule za msingi unapewa daftari bure. Karo/Ada ilifutwa au ilikuwa ndogo hadi elimu ya juu.
Huduma ya elimu bure hadi chuo kikuu.
Kulikuwa na vitabu kila mwanafunzi na vya ziada.
Shule za michepuo ya ufundi na vyuoni kulikuwa na vifaa na mitambo ya mafunzo kwa vitendo. Waliweka mpaka mashine za kuchonga vipuli.
Sasa yote hayo yaliondolewa wakati wa capitalism ya Mkapa na Kikwete.
Haya uliyo potosha hapa kawa ongopee watoto wadogo.
Zamani kila shule ya sekondari unapewa gari la shule. Leo hii shule karibu zote hazina gari Ila wapeana gari za kifahari huko ngazi za juu na viongozi wastaafu.
Wakati huo serikali ilifadhili watanzania kupata elimu Bora na ujuzi nchi za nje. Sasa hivi watu wachache sana hupelekwa kusoma nje wakitokea moja kwa moja toka elimu ya sekondari.

inawezekana mama yako alikuwa member wa politburo pia ndiyo maana mlifaidika isitoshe swali kwako watoto wangapi walikuwa wanakwenda shuleni kipindi hicho? unajua kwa nini baada ya darasa la saba walikuwa wanasema umechaguliwa kuingia kidato cha kwanza badala ya umefaulu?

shida ya communism iko hapo wanatawanya rasilimali ambazo hazipo, ili uweze kugawa ni lazima uzalishe kwanza kwa kufanya kazi halafu ndiyo utaweza kusaidia ambao hawana uwezo, sasa ninyi mlikuwa mnagawa vitu bila ya kuwa na uzalishaji na ndiyo maana mlifeli kwa maana mliishiwa cha kugawa kwa kuwa hakukuwa na productivity yoyote …
 
Akina Nyerere na kina Wasira na team kina Kingunge walitudanganya sana

Mfumo pekre unaojalu watu ni wa kepitalisti. Ambapo kila mtu anapambana kivyake bila kuingiliwa.

Hizi ukomunisti na ufalme wengi wanatumima kulisha wachache.
Huo pia ni mfumo wa kipumbavu sana usipodhibitiwa maana unatengeneza madoni wachache wanaomiliki wanasiasa mfano tu kuna vita inapiga USA mpaka wamarekani wenyewe wanashangaa ila unakuta ni kwa maslahi ya madoni wachache
 
Ila wachina wanambato sana Mwafrika akasome. Bila sheria wangezaliana kama uyoga
Wanaishi kwa hofu ya nini? Chama cha Kikomunisti cha China ndani ya miaka 30 kimeinua takribani wachina bilioni moja toka kwenye umaskini wa kutupwa
Hofu unaipata wapi ukiwa unakula Bata kama middle class ?
 
tanzagiza ni communist na haijawahi kuwa vinginevyo tangia uhuru, kwanza nchi karibia zote afrika ni communist, na hili utaliona kama unaelewa maana ya communism …
Naunga mkono hoja. Sisi wanyonge tunaambiwa tujiajjri wakati wao na familia zao wanaishi kwa jasho letu.
 
View attachment 3399073

Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.

Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.

Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.

CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
Kikwete siyo mtu mzuri
 
Huo pia ni mfumo wa kipumbavu sana usipodhibitiwa maana unatengeneza madoni wachache wanaomiliki wanasiasa mfano tu kuna vita inapiga USA mpaka wamarekani wenyewe wanashangaa ila unakuta ni kwa maslahi ya madoni wachache
Kama kuna sheria na mifumo huru hakuna shida. Shida ya communists wanaunda sheria na mifumo inayowalinda viongozi tu
 
Mwalimu Nyerere alijenga nyumba yake ya Msasani kwa mkopo wa benki ya nyumba. Nyumba ya Butiama alijengewa na jeshi kwa heshima ya uongozi wake.

Pension yake ilikua ni ya kawaida sana. Waziri Mkuu Mstaafu wa Denmark mwanamama aliwahi kumtembelea Mwalimu Msasani wote wakiwa wastaafu, alikuta nyumba ni ya kawaida na ilihitaji matengenezo. Yule mama alifanya jitihada za kupata pesa ya kurekebisha nyumba ya Mwalimu ya Msasani.

Ni baada ya Mwalimu hasa Mkapa na Kikwete ndiyo wameanza ubwanyenye.
 
View attachment 3399073

Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.

Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.

Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.

CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
CCM ni adui namba moja wa taifa hili
 
Back
Top Bottom