Himaya ya Usultani inarudi Tanzania, hata wana CCM tunashangaa

Kuna yule first lady alie pambana na wao walipwe ,ina sikitisha bado ame komaa Bungeni tena , yani ana lipwa kama former first lady while mme wake ana lipwa plus mtoto then ana taka tena
Ndo Usultani mentality, bila aibu.
 
inawezekana mama yako alikuwa member wa politburo pia ndiyo maana mlifaidika isitoshe swali kwako watoto wangapi walikuwa wanakwenda shuleni kipindi hicho? unajua kwa nini baada ya darasa la saba walikuwa wanasema umechaguliwa kuingia kidato cha kwanza badala ya umefaulu?

shida ya communism iko hapo wanatawanya rasilimali ambazo hazipo, ili uweze kugawa ni lazima uzalishe kwanza kwa kufanya kazi halafu ndiyo utaweza kusaidia ambao hawana uwezo, sasa ninyi mlikuwa mnagawa vitu bila ya kuwa na uzalishaji na ndiyo maana mlifeli kwa maana mliishiwa cha kugawa kwa kuwa hakukuwa na productivity yoyote …
Wewe unaongelea vitu vya kusikia au kusimuliwa tu.
Unaongea nadharia na dhana tu.
Hakuna wakati wowote katika nchi hii kulikuwa na uzalishaji mkubwa kama wakati huo wa ujamaa.
Watu walizalisha ngozi nyingi sana na samli.
Walizalisha pamba, korosho, tumbaku, chai na kahawa kwa wingi na kupeleka soko la nje na ndani ya nchi. Kulikuwa na viwanda vingi tu.
Wakati wa Mwinyi, Mkapa, Kikwete na walioendelea vitu hivyo vyote uzalishaji ulikuwa duni sana.
Hatuuzi nje ya nchi kwa wingi.
Sasa capitalism na liberal economy imetusaidia nini?
Wakati huo elimu ilizingatia viwango (quality), Sasa tunazingatia idadi (quantity) ya wahitimu hata kama hawajapata maarifa sawa sawa yenye kujenga uwezo wa kujiajiri au kuajiriwa.
Unaweza kuamini wahitimu wa degree na masters wamekuja kuniomba kuwaandikia CV zao au hawajui barua ya mdhamini wa ajira inaandikwaje??!!! Hii ni elimu gani?
 
inawezekana mama yako alikuwa member wa politburo pia ndiyo maana mlifaidika
Hii inathibitisha haukuwepo wakati huo na ndiyo maana umeongea kitu kisichokuwapo.
Hivyo vitu vilikuwa vinagawanywa kila wilaya na kila ilipo huduma ya Afya au elimu.
Zoezi la vitu vya Afya vilisambazwa na coordinators wa wilaya wa Afya. Waligaiwa watoto wote walipopelekwa clinic.

Vifaa vya elimu vilipelekwa mashuleni moja kwa moja kutoka ofisi ya elimu wilaya au halmashauri ya wilaya. Walipewa daftari kila mwanafunzi siyo kwa kuangalia uwezo wa familia kama uhuni wa sasa wa bodi ya mikopo. Hakuna huyu 100% yule 40%.

Walioishi karibu na UDSM au vyuo vingine walienda kwenye canteen/cafeteria kudowea mikate na chai vya bure.
Waligaiwa wanafunzi wote.
Wewe umelishwa sumu kwa mambo ambayo siyo kweli.
 
View attachment 3399073

Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.

Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.

Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.

CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
Wasijenge vipi wakati Sasa wanafanya finishing!?? Na mliwasadia kubeba mawe na matofali na mchanga...!??
 
Mwalimu Nyerere alijenga nyumba yake ya Msasani kwa mkopo wa benki ya nyumba. Nyumba ya Butiama alijengewa na jeshi kwa heshima ya uongozi wake.

Pension yake ilikua ni ya kawaida sana. Waziri Mkuu Mstaafu wa Denmark mwanamama aliwahi kumtembelea Mwalimu Msasani wote wakiwa wastaafu, alikuta nyumba ni ya kawaida na ilihitaji matengenezo. Yule mama alifanya jitihada za kupata pesa ya kurekebisha nyumba ya Mwalimu ya Msasani.

Ni baada ya Mwalimu hasa Mkapa na Kikwete ndiyo wameanza ubwanyenye.
Wahalifu walaaniwe
 
acheni kuwalinganisha masultani na hao wapuuzi, Nenda nchi za kifalme Dubai, Oman, Saudi muone maendeleo yaliyokuepo na vipi wananchi wao wanavyokula maisha. CCM ni takataka, washenzi, wabinafsi kipundukia.
 
Fuatilia hao huko unaowasema.
Miaka mingi iliyopita walijimilikisha rasilmali hivi hivi.
 
haujaangalia tu vizuri china, wachina wengi wako tayari kuishi Chistian western countries klk china, unaangalia maghorofa tu lkn ujaua watu wa kawaida china wanavyoishi kwa hofu ? …
EEEeenHEEEeeeh!
Hivi kweli umejipa "ujuaji" kwa mambo ambayo hujui chochote juu yake? Wewe ndiye umekuwa mtaalam wa mambo haya!
Umeishi China miaka mingai; au tuseme umesomea chuo gani hayo unayoyaeleza haa? Lugha yenyewe unayotumia inaonyesha hata a kushikia tu kuhusu maswala hayo huna!

Kweli JF inamkusanyiko wa kila aina ya takataka!
 
View attachment 3399073

Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.

Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.

Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.

CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
Hawa waliopo madarakani ni wapuuzi tu, ni wezi waliotukuka na hawafai kuliongoza hili taifa. Nashauri jeshi letu liwakamate haraka sana.
 
Tatizo letu kubwa ni wabunge wetu woote waliopitisha muswaada wa hiyo sheria ya mafao ili kutuletea Sultani.
Wananchi wasiwarudishe hata mmoja na sheria hiyo ikafutwe huko mbeleni.
 
View attachment 3399073

Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.

Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.

Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.

CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
Sultani Chikwete
Sultana Salma, Chikwete
Mwana wa Sultani, Riz
 
Aisee jamaa kaongea fact kwa uchungu halafu kwa kueleweka....top leaders kummak.e zao.
 
View attachment 3399073

Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.

Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.

Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.

CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.

Huwezi kuunga mkono ujinga halafu ukaja kulalama
 
Back
Top Bottom