Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Uko communism mnapelekewa nyue raia,wao viongozi wanaishi kibepari life styletanzagiza ni communist na haijawahi kuwa vinginevyo tangia uhuru, kwanza nchi karibia zote afrika ni communist, na hili utaliona kama unaelewa maana ya communism …
Anakubishia tu wakati huo ndio ukwelitanzagiza ni communist na haijawahi kuwa vinginevyo tangia uhuru, kwanza nchi karibia zote afrika ni communist, na hili utaliona kama unaelewa maana ya communism …
View attachment 3399073
Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.
Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.
Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.
CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
Sure yaliyozungumzwa ktk klip nikweliView attachment 3399073

Hail to the Queen [emoji146]View attachment 3399073

hakuna cha ajabu hapo iko hivyo na imekuwa hivyo siku zote tangia uhuru hiyo ni communism, tanzagiza ni communist, watu wengi hawaelewi maana ya communism, communist countries zote ziko hivyo yaani kuna daraja la juu wachache na chini, hakuna middle class, daraja la chini wanakamuliwa kuhudumia politburo na familia zao.
kwenye communist countries serikali ipo kwa ajili kuhudumia ruling class na politburo basi, na hiyo ni dunia nzima ambako communism iko practiced, na ndiyo maana Christian countries wako tayari kuingia vitani kutetea Capitalism angalau kwenye capitalism kuna daraja la kati, watu wa kawaida hupata kazi yenye kipato kizuri na kuweza kupanda daraja la kimaisha …
Uko communism mnapelekewa nyue raia,wao viongozi wanaishi kibepari life style
Ova
Pengine mnahadithiwa tu juu ya Nyerere, wengine tumebahatika si tu kuonana naye bali pia kusomeshwa na kuajiriwa wakati wa utawala wake.Nyerere ndiyo alitutengenezea huu mfumo wa majangili ya mali za umma
Hata Tanzania ya Nyerere haikuwa hivyo.Mbona china haipo hivyo?
Wajane wa Mzee Mwinyi ni wawili, na Dr Ghalibu Bilal anao wake wawili.Ikitokea rais ana wake wanne vipi watahudumiwa wote?
Sasa huu mfumo mbovu ulitoka wapi? haya majangili mengi ya mali za umma yamesoma wakati wa mwalimu, JK, Pinda, Chenge, Maza n.k nani alitengeneza huu mfumo mbovu? yeye kweli hakuwa wizi hilo lipo wazi snPengine mnahadithiwa tu juu ya Nyerere, wengine tumebahatika si tu kuonana naye bali pia kusomeshwa na kuajiriwa wakati wa utawala wake.
Hakuamini mtu kujilimbikizia mali ya umma.
Huu mfumo mbovu Nyerere ndiyo katuachia yeye tunateswa na koo chache sn zenye tamaaHata Tanzania ya Nyerere haikuwa hivyo.
Wagonjwa maskini walipata matibabu hospitali zote za serikali bila malipo wala bima, hata waliopata referral kutibiwa nje ya nchi serikali iligharamia kila kitu.
Ni juu yako kumshitaki baba aliyekuzaa!Sasa huu mfumo mbovu ulitoka wapi? haya majangili mengi ya mali za umma yamesoma wakati wa mwalimu, JK, Pinda, Chenge, Maza n.k nani alitengeneza huu mfumo mbovu? yeye kweli hakuwa wizi hilo lipo wazi sn