Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #61
Ndo Usultani mentality, bila aibu.Kuna yule first lady alie pambana na wao walipwe ,ina sikitisha bado ame komaa Bungeni tena , yani ana lipwa kama former first lady while mme wake ana lipwa plus mtoto then ana taka tena
Ni mshitaki kwa sababu zipi?Ni juu yako kumshitaki baba aliyekuzaa!
Wewe unaongelea vitu vya kusikia au kusimuliwa tu.inawezekana mama yako alikuwa member wa politburo pia ndiyo maana mlifaidika isitoshe swali kwako watoto wangapi walikuwa wanakwenda shuleni kipindi hicho? unajua kwa nini baada ya darasa la saba walikuwa wanasema umechaguliwa kuingia kidato cha kwanza badala ya umefaulu?
shida ya communism iko hapo wanatawanya rasilimali ambazo hazipo, ili uweze kugawa ni lazima uzalishe kwanza kwa kufanya kazi halafu ndiyo utaweza kusaidia ambao hawana uwezo, sasa ninyi mlikuwa mnagawa vitu bila ya kuwa na uzalishaji na ndiyo maana mlifeli kwa maana mliishiwa cha kugawa kwa kuwa hakukuwa na productivity yoyote …
Hii inathibitisha haukuwepo wakati huo na ndiyo maana umeongea kitu kisichokuwapo.inawezekana mama yako alikuwa member wa politburo pia ndiyo maana mlifaidika
Inakuwaje kwa Sultani?Ikitokea rais ana wake wanne vipi watahudumiwa wote?
Wasijenge vipi wakati Sasa wanafanya finishing!?? Na mliwasadia kubeba mawe na matofali na mchanga...!??View attachment 3399073
Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.
Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.
Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.
CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
Du..mambo magumu!Wasijenge vipi wakati Sasa wanafanya finishing!?? Na mliwasadia kubeba mawe na matofali na mchanga...!??
Wahalifu walaaniweMwalimu Nyerere alijenga nyumba yake ya Msasani kwa mkopo wa benki ya nyumba. Nyumba ya Butiama alijengewa na jeshi kwa heshima ya uongozi wake.
Pension yake ilikua ni ya kawaida sana. Waziri Mkuu Mstaafu wa Denmark mwanamama aliwahi kumtembelea Mwalimu Msasani wote wakiwa wastaafu, alikuta nyumba ni ya kawaida na ilihitaji matengenezo. Yule mama alifanya jitihada za kupata pesa ya kurekebisha nyumba ya Mwalimu ya Msasani.
Ni baada ya Mwalimu hasa Mkapa na Kikwete ndiyo wameanza ubwanyenye.
Bado wanadhulumu Ardhi za walalahoi na kujenga mapetrolstation aibuKikwete siyo mtu mzuri
Fuatilia hao huko unaowasema.acheni kuwalinganisha masultani na hao wapuuzi, Nenda nchi za kifalme Dubai, Oman, Saudi muone maendeleo yaliyokuepo na vipi wananchi wao wanavyokula maisha. CCM ni takataka, washenzi, wabinafsi kipundukia.
EEEeenHEEEeeeh!haujaangalia tu vizuri china, wachina wengi wako tayari kuishi Chistian western countries klk china, unaangalia maghorofa tu lkn ujaua watu wa kawaida china wanavyoishi kwa hofu ? …
Hawa waliopo madarakani ni wapuuzi tu, ni wezi waliotukuka na hawafai kuliongoza hili taifa. Nashauri jeshi letu liwakamate haraka sana.View attachment 3399073
Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.
Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.
Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.
CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
Tatizo letu kubwa ni wabunge wetu woote waliopitisha muswaada wa hiyo sheria ya mafao ili kutuletea Sultani.Hawa waliopo madarakani ni wapuuzi tu, ni wezi waliotukuka na hawafai kuliongoza hili taifa. Nashauri jeshi letu liwakamate haraka sana.
Sultani ChikweteView attachment 3399073
Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita sasa wanaanza kujijengea Usultani.
Sultani hafanyi kazi, anakula kodi za wananchi mpaka kufa.
Na kawaida ya Usultani, huwa wanataka kurithisha Usultani kwa wana wao.
Hili la mafao ya wastaafu ambalo limeongelewa kwenye clip siyo siri linawakera hata wana CCM wengi.
Mwalimu Nyerere alipinga ubwanyenye na unyapara, na aliishi hivyo.
Hakutaka kuishi kwa kodi za wananchi zaidi ya kile alichostahili kama mstaafu.
CCM iwe makini, tusijenge tabaka la the Haves, masultani, na kwa ukweli kabisa, Kikwete katika hili anajizolea sifa mbaya.
View attachment 3399073

Ukiwa na mihemuko, you miss the argument.Huwezi kuunga mkono ujinga halafu ukaja kulalama