Himaya ya Usultani inarudi Tanzania, hata wana CCM tunashangaa

na vipi kuhusu maendeleo walioleta kwenye nchi zao?
Usiwe na ufinyu wa kutazama mambo, kuwa na upeo mpana zaidi.
Maana kwa fikra zako , basi tunao wafuatao watakuwa wana maendeleo ya kutisha:

Obiang Nguema wa Equatorial Guinea-45 years in power
Paul Biya wa Cameroon-42 years in power
Sassou Nguesso-40 years in power
Yoweri Museveni-38 years in power
King Mswati wa Eswatini ,ndo kabisa haondoki-38 years in power
Isaias Afwerki wa Eritrea-31 years in power
King Letsie wa Lesotho, naye haondoki leo wala kesho-28 years in power
Ismael Gulleh wa Djibouti-25 years
Mohammed VI wa Morocco-25years
Paul Kagame wa Rwanda-24 years
 

Museveni na Kagame ni wafalme?
 
Nilisema, sasa tunayaona.
Tunaambiwa Usultani na CCM sasa damudamu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…