Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

Oky
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alionesha utiifu wa hali ya juu wa amri za wakuu wake,hakika alistahili kuwa shujaa miongoni mwa wengine kwenye nchi yake.
 
Nina kavideo kake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya askari wa kimarekani kuondoka Miaka mingi alipata wapi silaha tena? Kama alitumia zana zingine kama panga nk nini sababu ya kuua Raia wanaoendelea na shughuli zao?

Huyu kuna kilichomkwamisha kuondoka huko akaamua kubaki kama mhalifu tu
Mkuu, huenda alichukua silaha kutoka kwa askali aliowaua, pia nikukumbushe mwanajeshi hufundishwa pia ku make weapons mfano panga mishale nk


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkuu mbona nimeshakujibu ? silaha alichukuwa kwa wanajeshi wa marekani na hata walivoondoka alichukua kwa wanajeshi wa hiyo nchi maana walibaki kumtafuta msituni,
na kuhusu swali lako la kwanini alibaki huko, soma vizuri uzi utaelewa,alibaki kwa maana alipewa mission na baada ya hapo hakuwa na mawasiliano na command post, asingeweza kurudi kwa sababu soldiers never abandon mission hasa ukizingatia mission alipewa na maelezo kwamba hata iweje wasirudi nyuma


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…