Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

Great! Very touching. Hii kitu imenigusa Sana! Huyu kamanda alikuwa mpambanaji haswaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
niliwai kuona documentary yake kwenye channel moja ya kijapan inaitwa NHK world alini inspire sana kule Japan wameweka na makumbusho yake kabisa kwa ajili ya kuwafunza askari uzalendo pia wameweka na silaha pamoja na chakula alichokua anatumia porini nyama ya kukausha za wanyama
 
1637159956561.png

Kuna uwezekano hakufahamu kuwa vita imekwisha, hata hivyo wanajeshi wanapitia mafunzo mengi na hayo ndiyo yalimuwezesha huhimili maisha ya msituni kwa miaka 30.

Fikiria kupoteza miaka 30 kama mchezo.
 
Kama sijakosea huyo bwana alikua anajua vita bado haijaisha Japanese ni moja kati ya race ya binaadamu nayoikubali sana wana Commitment na Integrity ya hali ya juu.

(Msinioige mawe wajapan ni Mongolian race)
 
Kama sijakosea huyo bwana alikua anajua vita bado haijaisha
Japanese ni moja kati ya race ya binaadamu nayoikubali sana wana Commitment na Integrity ya hali ya juu.
(Msinioige mawe wajapan ni Mongolian race)
Hawa jamaa walikuwa wanajiuliza kusurrander au kuto surrander baada ya kushushiwa vitu viwili vizito
 
Sasa muda wote huo alikuwa hata hajishughulishi kujiuliza wenzake wako wapi? Au kuwatafuta. Miaka 30 ni mingi sana.
 
Mwongo huyo,miaka 30 huna habari kuwa vita imeisha?hata kwa kuona angani zinapita ndege za abiria bila woga?
 
Back
Top Bottom