Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Marekani kama sio kutumia atomic alishashindwa vita japan itabaki nchi pekee ambayo ilivamia ndani ya marekani na kupiga bandari yao
Marekani ni mdhafu sana, alipigwa na mvietnam vita ya hatari mpaka akaomba poo.
Sent using Jamii Forums mobile app