Hisia na mihemko havijawahi kumuacha mtu salama

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu.

Niende kwenye mada, Wanaume sisi ni viumbe wenye uthubutu sana, hatupendi kushindwa kupata kile tukipendacho, tutatumia nguvu nyingi, akili na muda mwingi, ili tu kupata kile tunachopenda.

Naomba niwashauri wanaume wenzangu, hisia za mapenzi zisiruhusu wewe kutapeliwa na wanawake. Pamoja na ugumu wa maisha ila wanaume tukipata pesa na wewe ni bachela lazima ukajibless na mrembo mmoja akupe nyama kwa nyama yani ni mwendo wa kupelekeana moto tu.

Kuna mabinti ambao wameishaona kudanga ndo maisha. Kuna mabinti ambao wanaweza kutulia na mwanaume mmoja ila muhimu tu kwa wewe mwanaume pesa iwepo 24/7 kutatua shida za mwanamke huyo.

Kuna mabinti ambao wameshindwa kua na hata huyo mwanaume mmoja wa kumvulia chupi, wanachotaka wao before ifike time ya kumvulisha chupi awe kakuliza pesa ya kutosha, kiasi kwamba ukikata tamaa basi utakua umeondoka na hasara kubwa sana. (Hii ndio new generation, wamekua wengi sana) na utakapo gundua demu ni mzugaji hakutaki, ukilalamika tu ndio kosa lako, mtaachana na atakuchapa na block.

Na usiombe uingie kwenye kumi na nane za demu msagaji utaomba poo.

Wanachokifanya hawa wanawake ni hivi ukimtongoza kwa kujiliza liza sana ndipo, she take advantage, anakuona zoba hili naweza kulichuna kiasi, wao malengo yanakua ni madogo tu, ukitoboka wewe hata 1k ya vocha kwake yeye ni step kubwa sana kwenye mradi wake.

Anawapanga wengi kama wewe ambao ety mnamtaka yeye kimapenzi na wengi wenu huwa mnachelewa kusema, kwahiyo katika kile kipindi cha tujuane kwanza na tuzoheane ndipo lazima mwanaume utoboke kimtindo.

Wanaume tumefikia hatua ukiona mwanamke unajisemea nikiwa kama na laki moja au elfu 50 huyu demu nakula, akinichuna kabla iishe atakua katoa mzigo, my braza ni heri ukanunue kahaba moja kwa moja kuliko kupoteza muda wako kuangaika na mpumbavu mmoja ambae kajanjaruka na kujua kuwa wanaume tumekua wepesi kutoa toa pesa kisa tamaa za kumpata mwanamke.

binafsi nina tukio lilinitokea, bahat nzuri nilikua nimeisha shituka mapema, nikipata muda nitasimulia, shida inakuja humu JF mtakuja kunitolea tu kashfa, matusi na kejeli, kwa maana mwanamke huyo niliingiza hadi geto, kwa kuwa sikutaka mapenz ya kulazimishana nilimuacha aondoke na sikufanya nae chochote lakini kwa jinsi alivyokua muhongo na Mraghai kwakweli na uzuri wake najua anawaokota wengi sana.

Siku zote matukio huwa hivi. ukiomba namba atakupa. Ukichelewa kusema shida yako ndio anaona vizuri zaidi, nakwambia ni wanaomba hela bila aibu kabisa na bila mpangilio.

Ukituma vocha ndipo utajibiwa na message zako, kuonana hawezi kuja getoni kwako wala chimbo lako, ni atakuwekea masharti kibao, kukwepa kuvuliwa chupi na utanote kuwa ukimpa hela ndipo respond yake kwako inaongezeka kiasi bila hivo utajichatisha mwenyewe.

Yote tisa, kumi mimi kuna binti ambae alichukua namba zangu kwa mtu na kunitafuta, nilikua namjua japo sikua na mawasiliano nae'
Akaniuliza alichotaka kuniuliza tunaendelea kuwasiliana sasa shobo zake za kunitafuta ikabidi nirushe tongozo, akakubali hadi kuna siku nilikua nimetoka kula pombe siku hiyo nilichati nae usiku message za kutiana, nadhani mnazijua zile za bebi tupande kitandani, mala ingiza bebi taratibu.. and what and what.. hivo yani akawa anadai hadi kaloana kwa jinsi alivyo na hisia na mimi. ehe bana kesho yake nikaambiwa nitume elfu 30 ya kusuka, nikamwambia wewe njoo nione iyo kichwa yako kwanza then pesa ya kusuka nitakupa mkononi, akalazimisha nitume, mimi sikutuma uwezi amini mahusiano yalikufa tangu siku hiyo.

Yani ukijichanganya kutongoza kwa kulia lia ni hatar hawa mabinti round moja tu anakua kaisha kuchapa nockout na huna cha kumfanya. tuweni makini lakini pia kama ni hobb yako kutoa pesa yako ili kesho uje kupewa match wewe endelea tu nisemacho sio sheria.

Akili mtu wangu, sita sema pisi inayojielewa inakuwa vipi kiukweli kumpata akupendae bado ni tatizo kubwa, unae mpenda hakupend, usie mpenda ndie anakutaka sasa.

WE KNOW SEX NI MUHIMU NA INAFAIDA NYINGI KIAFYA.
 
Ngoja waje

FB_IMG_16357685162739964.jpg
 
Haha!nmepapenda hapo"akili mtu wangu"by Vinnie Baite voice.....inatakiwa hizi kanuni zifuatwe na wanaume wotee...wenye hela za kuonga AKA domo zege waendelee kutoa..sie wachapa sound hakuna kutoa hata mia...wahudumiwe na wazazi wao
 
Kanaflow
 
Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu.

Niende kwenye mada, Wanaume ni viume wenye udhubutu sana, hatupendi kushindwa kupata kile tukipendacho, tutatumia nguvu nyingi, akili na muda mwingi, ili tu kupata kile tunachopenda.
Naomba niwashauri wanaume wenzangu, hisia za mapenzi zisiruhusu wewe kutapeliwa na wanawake.
Pamoja na ugumu wa maisha ila wanaume tukipata pesa na wewe ni bachela lazima ukajibless na mrembo mmoja akupe nyama kwa nyama yani ni mwendo wa kupelekeana moto tu.

Kuna mabinti ambao wameishaona kudanga ndo maisha.
Kuna mabinti ambao wanaweza kutulia na mwanaume mmoja ila muhimu tu kwa wewe mwanaume pesa iwepo 24/7 kutatua shida za mwanamke huyo.
Kuna mabinti ambao wameshindwa kua na hata huyo mwanaume mmoja wa kumvulia chupi, wanachotaka wao before ifike time ya kumvulisha chupi awe kakuliza pesa ya kutosha, kiasi kwamba ukikata tamaa basi utakua umeondoka na hasara kubwa sana. (Hii ndio new generation, wamekua wengi sana) na utakapo gundua demu ni mzugaji hakutaki, ukilalamika tu ndio kosa lako, mtaachana na atakuchapa na block.
Na usiombe uingie kwenye kumi na nane za demu msagaji utaomba poo.

Wanachokifanya hawa wanawake ni hivi ukimtongoza kwa kujiliza liza sana ndipo, she take advantage, anakuona zoba hili naweza kulichuna kiasi, wao malengo yanakua ni madogo tu, ukitoboka wewe hata 1k ya vocha kwake yeye ni step kubwa sana kwenye mradi wake.
Anawapanga wengi kama wewe ambao ety mnamtaka yeye kimapenzi na wengi wenu huwa mnachelewa kusema, kwahiyo katika kile kipindi cha tujuane kwanza na tuzoheane ndipo lazima mwanaume utoboke kimtindo.

Wanaume tumefikia hatua ukiona mwanamke unajisemea nikiwa kama na laki moja au elfu 50 huyu demu nakula, akinichuna kabla iishe atakua katoa mzigo, my braza ni heri ukanunue kahaba moja kwa moja kuliko kupoteza muda wako kuangaika na mpumbavu mmoja ambae kajanjaruka na kujua kuwa wanaume tumekua wepesi kutoa toa pesa kisa tamaa za kumpata mwanamke.

binafsi nina tukio lilinitokea, bahat nzuri nilikua nimeisha shituka mapema, nikipata muda nitasimulia, shida inakuja humu JF mtakuja kunitolea tu kashfa, matusi na kejeli, kwa maana mwanamke huyo niliingiza hadi geto, kwa kuwa sikutaka mapenz ya kulazimishana nilimuacha aondoke na sikufanya nae chochote lakini kwa jinsi alivyokua muhongo na Mraghai kwakweli na uzuri wake najua anawaokota wengi sana.

Siku zote matukio huwa hivi..
ukiomba namba atakupa..
Ukichelewa kusema shida yako ndio anaona vizuri zaidi, nakwambia ni wanaomba hela bila aibu kabisa na bila mpangilio.
Ukituma vocha ndipo utajibiwa na message zako, kuonana hawezi kuja getoni kwako wala chimbo lako, ni atakuwekea masharti kibao, kukwepa kuvuliwa chupi na utanote kuwa ukimpa hela ndipo respond yake kwako inaongezeka kiasi bila hivo utajichatisha mwenyewe.

Yote tisa, kumi mimi kuna binti ambae alichukua namba zangu kwa mtu na kunitafuta, nilikua namjua japo sikua na mawasiliano nae'
Akaniuliza alichotaka kuniuliza tunaendelea kuwasiliana sasa shobo zake za kunitafuta ikabidi nirushe tongozo, akakubali hadi kuna siku nilikua nimetoka kula pombe siku hiyo nilichati nae usiku message za kutiana, nadhani mnazijua zile za bebi tupande kitandani, mala ingiza bebi taratibu.. and what and what.. hivo yani akawa anadai hadi kaloana kwa jinsi alivyo na hisia na mimi. ehe bana kesho yake nikaambiwa nitume elfu 30 ya kusuka, nikamwambia wewe njoo nione iyo kichwa yako kwanza then pesa ya kusuka nitakupa mkononi, akalazimisha nitume, mimi sikutuma uwezi amini mahusiano yalikufa tangu siku hiyo.

Yani ukijichanganya kutongoza kwa kulia lia ni hatar hawa mabinti round moja tu anakua kaisha kuchapa nockout na huna cha kumfanya. tuweni makini lakini pia kama ni hobb yako kutoa pesa yako ili kesho uje kupewa match wewe endelea tu nisemacho sio sheria.

Akili mtu wangu, sita sema pisi inayojielewa inakuwa vipi.
kiukweli kumpata akupendae bado ni tatizo kubwa, unae mpenda hakupend, usie mpenda ndie anakutaka sasa.
It's true, My advice ukiwa heart breaker utaenjoy sana hawa maslay queen never take them seriously
 
Back
Top Bottom