Hisia na mihemko havijawahi kumuacha mtu salama

Hisia na mihemko havijawahi kumuacha mtu salama

Mwendo wa kuchorana tu....
Screenshot_20211110-054859~2.jpg

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu.
Kuna mmoja nilimtongoza kakubali hapo hapo ilikuwa jumanne akaniambia birthday yake jumapili nimuongezee 35000 akanunue keki. Toto jeupe lina kishundu, red lips , hips zimetuna, sura Kali nikaona sio kesi nikatoa bana.

Shida zilianza nikimuita geto anakuja na mdogo wake na marafik zake wanakuwa kama wanne, sa zingne haji kabisa anasema anaumwa na sio mara moja mara kwa mara nikajiuliza huyu haponagi tu.

Kuanzia hapo nilijifunza napenda kuwatarifu kuwa akili zimerudi bana wakati ule nahisi tako la yule mtoto lilifanya zikaama kidogo
 
Kuna mmoja nilimtongoza kakubali hapo hapo ilikuwa jumanne akaniambia birthday yake jumapili nimuongezee 35000 akanunue keki. Toto jeupe lina kishundu, red lips , hips zimetuna, sura Kali nikaona sio kesi nikatoa bana. Shida zilianza nikimuita geto anakuja na mdogo wake na marafik zake wanakuwa kama wanne, sa zingne haji kabisa anasema anaumwa na sio mara moja mara kwa mara nikajiuliza huyu haponagi tu . Kuanzia hapo nilijifunza napenda kuwatarifu kuwa akili zimerudi bana wakati ule nahisi tako la yule mtoto lilifanya zikaama kidogo
Ulipokea uponyaji😅 wa kuondoa wenge!
 
Mkuu ulifanya big mistake ....unatumaje 35k kifala hvo
 
Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu.

Niende kwenye mada, Wanaume ni viume wenye udhubutu sana, hatupendi kushindwa kupata kile tukipendacho, tutatumia nguvu nyingi, akili na muda mwingi, ili tu kupata kile tunachopenda.

Naomba niwashauri wanaume wenzangu, hisia za mapenzi zisiruhusu wewe kutapeliwa na wanawake. Pamoja na ugumu wa maisha ila wanaume tukipata pesa na wewe ni bachela lazima ukajibless na mrembo mmoja akupe nyama kwa nyama yani ni mwendo wa kupelekeana moto tu.
Hahahaha hii kitu nilikua nasoma najiona kabisa kama ni mimi,
Kademu kamoja nilichukua namba kwake, nikakaomba nafasi ya kuonana nako kwa ajir ya maongezi kidogo ila sehemu kaliyochagua kwa masharti ni AVASH iliyopo Mwanza na siku yenyewe iwe wekeend jumapili na kbl nimpe hela ya kusuka kama 20k daah mwamba nikajikoki nikasema fresh nikamtumia japo kishingo upande natoa hela uku inaniuma, ijumaa ikafika nikawaza hapa jumapili kwenda uko ntaenda tena kutoboka ikabid nitengeneze dharura ya jumapili, hapo deal done, promise ikafa, sasa katikat ya wiki baada ya promise kufa, j3 hela ya lunch elf 5, J4 vocha Buku, j5 ikapita, alhamis hela ya lunch nikasema sina, ijumaa nikasema bas jpili hii tuonane akasema fresh ila kwanza hawez kuja maana nywele zinaanza kufumuka [emoji16][emoji16] "Damn yan wiki moja Tu unabadili nywele msenge wewe" nikasema fresh ila saiv sina ntakupa jumapili tukionana, kakasema kwako siji nikasema fresh basi tutaenda lodge,, mmkeeeee yan ni kama ndo nilimpaka pilipili wakati hapo nilikua nimeshampiga vocal na amekubali kua wapenz ila nilivyogusia lodge daaah ! "Mara ooh yan kujuana siku mbili tatu tu tayari Lodge, mara unanichukuliaje, mara ww unaomba twende lodge unazani mimi ni mtoto mdogo eeh" [emoji23][emoji23][emoji23] nikasema kwaiyo niambie kuna muda wa kumuambia mpenz wako kua nataka tuwe wote, yan ni kuanzia siku ngapi miez mingapi au wiki ngapi au ni mwaka???...
Saiv hata salama hakuna kabisa japo kanila kama elf 30 -40 mamaeeee zake

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Alafu kuna Mbwa zitakuja kusema wewe bahiri kha😢
 
Kuna mmoja nilimtongoza kakubali hapo hapo ilikuwa jumanne akaniambia birthday yake jumapili nimuongezee 35000 akanunue keki. Toto jeupe lina kishundu, red lips , hips zimetuna, sura Kali nikaona sio kesi nikatoa bana. Shida zilianza nikimuita geto anakuja na mdogo wake na marafik zake wanakuwa kama wanne, sa zingne haji kabisa anasema anaumwa na sio mara moja mara kwa mara nikajiuliza huyu haponagi tu . Kuanzia hapo nilijifunza napenda kuwatarifu kuwa akili zimerudi bana wakati ule nahisi tako la yule mtoto lilifanya zikaama kidogo
Hatar na Nusu,
Mimi kinacho niuma kwanini asitoe tu mzigo na yeye kiroho safi.
 
Hatar na Nusu,
Mimi kinacho niuma kwanini asitoe tu mzigo na yeye kiroho safi.
Kuna kitabu kiliandikwa na mdada mweusi mmarekani baje fletcher, kinaitwa go(al)diggers guide, how to get what u want from men without giving it up, tafsiri yake ni jinsi ya kupata hela toka kwa wanaume bila kutoa papuchi.

Nilisoma online kupitia web ya docroid, nlicheka na nikasikitika pia,

Definition ya good man kwa mwanamke, ni mpaka huyo mwanamke awe na hisia na wewe, niligundua hivo baada ya mwandishi wa kitabu hapo juu aliposema mdada anatakiwa atoe papa na asiombe hela, akishajua mwanaume aliye naye ni mwema na ndio the one, nkasema sasa atajuaje kama Huyo dume ni the one, wakati akifatwa tu na mwanaume haipiti masaa mawili, anaomba pesa nyingi? Hata mwandishi mwenyewe wa kitabu kwenye story zake alionesha udhaifu kwa baadhi ya wanaume waliomvutia

Alpha f*CKS, beta bucks
Surya
 
Wanawake wa kisasa ni kama chombo cha starehe, ni kama vile juke box

unaweka pesa unapata papuchi, huna pesa piga puli
 
Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu.

Niende kwenye mada, Wanaume sisi ni viumbe wenye udhubutu sana, hatupendi kushindwa kupata kile tukipendacho, tutatumia nguvu nyingi, akili na muda mwingi, ili tu kupata kile tunachopenda.

Naomba niwashauri wanaume wenzangu, hisia za mapenzi zisiruhusu wewe kutapeliwa na wanawake. Pamoja na ugumu wa maisha ila wanaume tukipata pesa na wewe ni bachela lazima ukajibless na mrembo mmoja akupe nyama kwa nyama yani ni mwendo wa kupelekeana moto tu.

Kuna mabinti ambao wameishaona kudanga ndo maisha. Kuna mabinti ambao wanaweza kutulia na mwanaume mmoja ila muhimu tu kwa wewe mwanaume pesa iwepo 24/7 kutatua shida za mwanamke huyo.

Kuna mabinti ambao wameshindwa kua na hata huyo mwanaume mmoja wa kumvulia chupi, wanachotaka wao before ifike time ya kumvulisha chupi awe kakuliza pesa ya kutosha, kiasi kwamba ukikata tamaa basi utakua umeondoka na hasara kubwa sana. (Hii ndio new generation, wamekua wengi sana) na utakapo gundua demu ni mzugaji hakutaki, ukilalamika tu ndio kosa lako, mtaachana na atakuchapa na block.

Na usiombe uingie kwenye kumi na nane za demu msagaji utaomba poo.

Wanachokifanya hawa wanawake ni hivi ukimtongoza kwa kujiliza liza sana ndipo, she take advantage, anakuona zoba hili naweza kulichuna kiasi, wao malengo yanakua ni madogo tu, ukitoboka wewe hata 1k ya vocha kwake yeye ni step kubwa sana kwenye mradi wake.

Anawapanga wengi kama wewe ambao ety mnamtaka yeye kimapenzi na wengi wenu huwa mnachelewa kusema, kwahiyo katika kile kipindi cha tujuane kwanza na tuzoheane ndipo lazima mwanaume utoboke kimtindo.

Wanaume tumefikia hatua ukiona mwanamke unajisemea nikiwa kama na laki moja au elfu 50 huyu demu nakula, akinichuna kabla iishe atakua katoa mzigo, my braza ni heri ukanunue kahaba moja kwa moja kuliko kupoteza muda wako kuangaika na mpumbavu mmoja ambae kajanjaruka na kujua kuwa wanaume tumekua wepesi kutoa toa pesa kisa tamaa za kumpata mwanamke.

binafsi nina tukio lilinitokea, bahat nzuri nilikua nimeisha shituka mapema, nikipata muda nitasimulia, shida inakuja humu JF mtakuja kunitolea tu kashfa, matusi na kejeli, kwa maana mwanamke huyo niliingiza hadi geto, kwa kuwa sikutaka mapenz ya kulazimishana nilimuacha aondoke na sikufanya nae chochote lakini kwa jinsi alivyokua muhongo na Mraghai kwakweli na uzuri wake najua anawaokota wengi sana.

Siku zote matukio huwa hivi. ukiomba namba atakupa. Ukichelewa kusema shida yako ndio anaona vizuri zaidi, nakwambia ni wanaomba hela bila aibu kabisa na bila mpangilio.

Ukituma vocha ndipo utajibiwa na message zako, kuonana hawezi kuja getoni kwako wala chimbo lako, ni atakuwekea masharti kibao, kukwepa kuvuliwa chupi na utanote kuwa ukimpa hela ndipo respond yake kwako inaongezeka kiasi bila hivo utajichatisha mwenyewe.

Yote tisa, kumi mimi kuna binti ambae alichukua namba zangu kwa mtu na kunitafuta, nilikua namjua japo sikua na mawasiliano nae'
Akaniuliza alichotaka kuniuliza tunaendelea kuwasiliana sasa shobo zake za kunitafuta ikabidi nirushe tongozo, akakubali hadi kuna siku nilikua nimetoka kula pombe siku hiyo nilichati nae usiku message za kutiana, nadhani mnazijua zile za bebi tupande kitandani, mala ingiza bebi taratibu.. and what and what.. hivo yani akawa anadai hadi kaloana kwa jinsi alivyo na hisia na mimi. ehe bana kesho yake nikaambiwa nitume elfu 30 ya kusuka, nikamwambia wewe njoo nione iyo kichwa yako kwanza then pesa ya kusuka nitakupa mkononi, akalazimisha nitume, mimi sikutuma uwezi amini mahusiano yalikufa tangu siku hiyo.

Yani ukijichanganya kutongoza kwa kulia lia ni hatar hawa mabinti round moja tu anakua kaisha kuchapa nockout na huna cha kumfanya. tuweni makini lakini pia kama ni hobb yako kutoa pesa yako ili kesho uje kupewa match wewe endelea tu nisemacho sio sheria.

Akili mtu wangu, sita sema pisi inayojielewa inakuwa vipi kiukweli kumpata akupendae bado ni tatizo kubwa, unae mpenda hakupend, usie mpenda ndie anakutaka sasa.

WE KNOW SEX NI MUHIMU NA INAFAIDA NYINGI KIAFYA.

ngoja tutafte kazi …. masimango yamezidi
 
Back
Top Bottom