Hisia na mihemko havijawahi kumuacha mtu salama

Noooma Sana!!
 
Hakuna cha Bure brother kama pesa kwako ngumu acha tamaa kapige punyeto

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Ishu sio bure,labda kama hujamwela mweka mada ila kweli hili jambo limekua changamoto mno.
Ishu ipo hivi,kuna bidada mmoja huku uswahilini kwetu nilikuomba namba akasepa,kesho yake nikamcheki nikarusha ndoano akawa anaila anaitema lakini mwisho akanipa moyo kaelewa somo ishu ikaja twakutana lini tuzungumze zaidi.
Tukapanga fresh basi kikapita kimya kama nusu saa hivi nasikia meseji nasoma niya yule bidada ananiambia yupo msibani tegeta huko,kengele ikaanza kupiga kichwani kua kuna jambo laja hivyo nikawa najibu kwa tahadhari kubwa sana mno mwisho nikampa pole kisha nikauchuna.
Ikapita nusu saa mara ghafla naona meseji nyingine kuwa nimtumie elfu kumi kwa ajili ya kutoa rambirambi,dah nikaona sio kesi was niwe fala labda naweza pata,wakati nipo kwenye harakati hizo za kutuma hamad namuona yule bidada kitaani anatoka dukani anaingia kwao,nikauchuna akaanza balaa la kunibip mbona situmi.
Nikawa nawaza nimpe jibu gani mujarabu mwisho nami nikaona niombe tu gemu kama biashara basi iwe win win tumalizane,akaruka yani Leo tu unataka tufanye mambo hayo nami nikamuuliza mbona weye leo tu unataka ela ndefu kwa kusingizia upo msibani hali ya kuwa nakuona unaingia kwenu hapo,dah ndio ukawa mwisho wetu wa mawasiliano mpaka milele.
 
Kaka hapo inakuwa hivi
Kuna Demu anakuvutia tuu umtie uboLoo lakini huna mpango naee sa huyu unakuta hata ukienda kwa kahaba kiu yako bado itaendelea kuwepo tuu.

Sa Demu wa Dizaini hii mi ntapigwa pesa ila nikisha mtromba bango zangu na kumwagia usoni kwenye maziwa mdomoni mi roho yangu swaafi kabisaa.

Hata 100k achukue tuu
Ntatafuta zinginee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
ok, it is your choice.
 
Ilibaki nusu tu, uingie kwenye 18 zake.

kuna jamaa yangu mmoja na yeye huwa anafalsafa ya kwamba akiwa na demu ambae hajamla anaweza kumpa hela bila shida tu, anafanya kama kutoa msaada tu wa tatizo lake.
Mimi huwa namwambia huo ni udhaifu, mueleze ukweli demu mimi nataka show nina ukame akishwa kukuelewa basi apite hivi hana mapenzi yoyote na wewe huyo.

Jamaa yangu aliwahi kummpenda mwanamke chuo, demu alimpotezea tu muda jamaa, pisi mbovu na mchizi alikua hapewi game wala nini.
Demu kazalishwa huko, akaja akamteka jamaa yangu kinoma, na demu age imeendaa tu anamzidi jamaa kama miaka miwili.
 
Akili mtu wangu[emoji101]
 
Mimi sio muumini wa kutuma pesa iwe ya vocha, kula, kusuka and so on

Kama unahitaji pesa nitakuita uwanja wa nyumbani uje uchukue mwenyewe na ukija hautoki bila kuliwa na ndio utapata hiyo pesa hata zaidi ya uliyo omba

Ukigoma kuja getho basi hukuwa na mapenzi na mimi ila ulikuwa na ajenda zako zingine za kunitengenezea vipengele

Akili mtu wangu, lazima uwe na moral lesson
 
Mb dog-Mapenzi kitu gani

Haya mapenzi ni kitu gani
Muda nawaza mpka nimechoka.
Vile doggy mimi nnajina mashori wengi tu wanashoboka.
Ninayempenda mm hanipendi ninachotaka kwake mi sikipati,
Kukataa mpenzi anahaki.
Nami kumuacha Moyo hautakii
 
Mwamba nsamehe sana nilikua nakuchukulia kama legend sana

Virse verse is true

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
kanaflow
 
KWA HERUFI KUBWAAA......KWA HESHIMA NA TAADHIMA NACHUKUA HAYA NA KUSISAMIA NDANI YA HAYA MAANDISHI YENYE UKWELI DAIMA,NAOMBA HATI MILIKI MKUU.😀😀
 

Umeeleweka mkuu...kauli mbiu yetu iwe “Hela ni yangu na Nyege ni zangu na shida ni zako binti “ hivo kila mtu na chake,me pesa yangu haitoki kirahisi asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…